jamani wadau mi ni graduate ila sijapata kazi nataka kuwa wakala wa m-pesa, tigo-pesa nimekopa mtaji nimeshapata ila nimekosa fursa ya kusajiliwa na huduma hii, nilienda tigo wakaniambia wamesitisha usajili wa mawakala na voda wakaniambia vivyohivyo sasa nipo dilema nami nilishajipanga kufanya kazi hii, naombeni msaada mtaji wangu usijekupotea nipo dar. pls kwa msaada ni pm tafadhali.