Hahahhahahahahhha!
Washukuriwe wagunduzi wa MPESA,TIGO PESA,
Maisha yangu sasa maisha yangu laaaaaaaaaaaaini!
Hata usiku wa manane salio likikata nabofya tu na kuendelea kuenjoy,
Wazee wangu kijijin hata nikipiga kidili cha elfu 10 na wapunguzia buku 5,
Dogo naye huko shule akibip nampunguzia jero yan raha km nn!
Hebu ngoja niwakague jamaa wenye wanawake,maana mimi mara ya mwisho wakati nilikua na mwanamke kulikua hakuna m-pesa,airte money,tigo pesa wala z pesa!
Mtumie kwa Western Union ha ha ha vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kinga'sti sweetie
mimi simu yangu ni sasa tel
na benki yangu ni daresaalm community bank....
sijui nikutumie vipi honey ?lol
watu wakisema mitandao ya jamii imeongeza watu ku cheat
hawalalamiki na kulaumu mitandao ya jamii
wanazungumza mabadiliko ya jamii yalioletwa na mitandao ya jamii
now umenielewa?
Duh, wenye bahati zao wana raha sana,sisi wengine wenye wapenzi wabahili kazi tunayo....kila siku ye haja-register tu na visababu kibao.....anyway,tutabanana hivyo hivyo....lol....Binafsi sijaanza kutumia hizi huduma kwa kuwa sina wa kumtumia wala wa kunitumia..lol
we huitaji hiyo
tembo card itakutosha
au mastercard....
good things comes to those who wait ...
huu ni ujumbe kwa wanaume
tugome kujiandikisha m pesa na tigo pesa
mimi siku zote hujibu 'bado sija register' niki register nitakutumia lol
Hamna cha kubadilika wala nini, watu wamepata tu mwanya wa kuonyesha walivyo kiurahisi zaidi.Hamna mtu ambae hana hulka ya kuomba omba ataanza kuomba eti kisa kuna M-pesa. . .na hamna asiependa kuhonga atahonga kisa kaambiwa atume kwa M-pesa na sio kwa bahasha ama bank.
Hivyo yote mnayataka wenyewe, kama mtu hafurahii aache.Watu wakimuomba omba awape live badala ya kulea ujinga huku wanalia lia pembeni.
You know i understand that very well....am a living testimony.....lol
"Unaniacha hoi, hoi, hoi..." (unaikumbuka hyo nyimbo?) lolz....!
Nmeipenda sana hii post,
big up!