M-PESA.TIGO PESA na MAHUSIANO...

M-PESA.TIGO PESA na MAHUSIANO...

Hahahhahahahahhha!
Washukuriwe wagunduzi wa MPESA,TIGO PESA,
Maisha yangu sasa maisha yangu laaaaaaaaaaaaini!
Hata usiku wa manane salio likikata nabofya tu na kuendelea kuenjoy,
Wazee wangu kijijin hata nikipiga kidili cha elfu 10 na wapunguzia buku 5,
Dogo naye huko shule akibip nampunguzia jero yan raha km nn!

Ni kweli Cantalisia, huduma hizi za pesa ni nzuri na zimesaidia sana, lengo la kuanzishwa kwake ni zuri sana bt tatizo ni jinsi ya watumiaji wanavyoitumia ndio balaa huanzia hapo.
 
Hapo yaonekana mtu alikuwa anapalilia hakuombwa. Smile uwe unarudisha pesa za watu zisije kuwa mahali siku moja.
 
Hebu ngoja niwakague jamaa wenye wanawake,maana mimi mara ya mwisho wakati nilikua na mwanamke kulikua hakuna m-pesa,airte money,tigo pesa wala z pesa!
 
duh, kwani umepatwa na matatizo gani?
Duh, hebu watumie

Hebu ngoja niwakague jamaa wenye wanawake,maana mimi mara ya mwisho wakati nilikua na mwanamke kulikua hakuna m-pesa,airte money,tigo pesa wala z pesa!
 
Afadhali umeokoa jahazi mwaya! Nilikuwa nataka kumuambia atume T.M.O, ila sijui majina yanabandikwa posta? Manake last time majina yalikuwa dining hall
Mtumie kwa Western Union ha ha ha vigezo na masharti kuzingatiwa.

My potato, plz send thru sijui southern union ya lily flower ama T.M.O, I can't wait (ila ujue itachukua 2 wks, so utume walau kamilioni, si unajua laki si pesa?)
Kinga'sti sweetie
mimi simu yangu ni sasa tel
na benki yangu ni daresaalm community bank....
sijui nikutumie vipi honey ?lol
 
kwa mafataki na wanaume wakware, utaratibu huu ni mtego poa sana kwenye mambo yetu yaleeee
 
watu wakisema mitandao ya jamii imeongeza watu ku cheat
hawalalamiki na kulaumu mitandao ya jamii
wanazungumza mabadiliko ya jamii yalioletwa na mitandao ya jamii
now umenielewa?

Hamna cha kubadilika wala nini, watu wamepata tu mwanya wa kuonyesha walivyo kiurahisi zaidi.Hamna mtu ambae hana hulka ya kuomba omba ataanza kuomba eti kisa kuna M-pesa. . .na hamna asiependa kuhonga atahonga kisa kaambiwa atume kwa M-pesa na sio kwa bahasha ama bank.

Hivyo yote mnayataka wenyewe, kama mtu hafurahii aache.Watu wakimuomba omba awape live badala ya kulea ujinga huku wanalia lia pembeni.
 
Kuna watu wengine huwa wanajifanya kusahau kama wameacha watoto kwa bibi zao, njia ya simu imetusaidia sana kupunguza vile visingizio vya nitamtuma "mtoto wa mzee flani wiki ijayo anakuja kijijini". Basi bibi wa watu atasubiri weee kumbe jitu limeshikwa masikio.....lol!!!
 
Duh, wenye bahati zao wana raha sana,sisi wengine wenye wapenzi wabahili kazi tunayo....kila siku ye haja-register tu na visababu kibao.....anyway,tutabanana hivyo hivyo....lol....Binafsi sijaanza kutumia hizi huduma kwa kuwa sina wa kumtumia wala wa kunitumia..lol
 
we huitaji hiyo
tembo card itakutosha
 
Jamani, sijui mi niko kundi gani? nitakayopewa kutokana na thamani yangu kwa yule anayenipa nitapokea tu kwa shukrani....!

ukishukuru kwa madogo,utapewa makubwa.....lol

good things comes to those who wait ...
 
huu ni ujumbe kwa wanaume
tugome kujiandikisha m pesa na tigo pesa
mimi siku zote hujibu 'bado sija register' niki register nitakutumia lol

Ila mkuu kumbuka kuna michongo mingine transaction nyepesi kulipwa ni MPESA au TIGOPESA, kuna siku nilichelewa kulipwa pesa yangu kisa sikuwa nmejisajili na TIGOPESA na ofcourse situmii Voda,
Basi hyo hela nlkuja kuipata baada ya siku 2, ikanikuta na madeni tayari, kwa hasira nkajisajiri na zote kwanzia Tigopesa, Mpesa, Airtel Money.

Ila kiukweli kwenye mambo ya mapenzi (mahusiano ya mahaba) hzo pesa za mitandao hazijanijeruhi kivile!
 
Hamna cha kubadilika wala nini, watu wamepata tu mwanya wa kuonyesha walivyo kiurahisi zaidi.Hamna mtu ambae hana hulka ya kuomba omba ataanza kuomba eti kisa kuna M-pesa. . .na hamna asiependa kuhonga atahonga kisa kaambiwa atume kwa M-pesa na sio kwa bahasha ama bank.

Hivyo yote mnayataka wenyewe, kama mtu hafurahii aache.Watu wakimuomba omba awape live badala ya kulea ujinga huku wanalia lia pembeni.

"Unaniacha hoi, hoi, hoi..." (unaikumbuka hyo nyimbo?) lolz....!
Nmeipenda sana hii post,
big up!
 
Back
Top Bottom