M-sure....

Aisee...wewe na Asprin lazima mnaitwa washua mnalenga mle mle.
 
Wa jinsia yako wananiita Mkaka. Siku mkianza kuniita Mbaba tutagombana.🙂🙂
Hahahaa wenzio tushazoea kuitwa mbaba.... utasikia "peleka hii bill kwa yule mbaba amekaa meza ya mwisho"... Anayesema hivyo ni mkubwa kuliko mkeo... hahahaa
 
Nadhani hilo neno ni Rejesta na limetoholewa kwenye lugha ya kizungu yani "IM SURE" na waswahili kutoa neno "I" na kubaki "M-SURE" lenye maana ya kimtaa MSHUA kwa maana mtu wa uhakika yaani mtu unayemwamini kwa kuwajibika na kuwa na msaada kwa kuwa ni mtu mzima
 
Good to know its a compliment.
 
Utakuwa na vihela vya kubadili mboga,kutoa ofa kwa mayanki za hapa na pale pamoja na kivitz cha kwenda kunywea beer jioni kwenye grocery
 
Una pigo za kidingi...
 
Utakuwa na vihela vya kubadili mboga,kutoa ofa kwa mayanki za hapa na pale pamoja na kivitz cha kwenda kunywea beer jioni kwenye grocery
Ha ha ha hako ka Vits umesoma comment yangu au ume guess?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…