Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Benki zinajulikana Sasa hao sanlam Mimi nimewajua kupitia VodacomKama pesa yako unayopeleka bank bank wenyewe wanaenda kuiwekeza au kukopesha watu nawewe bado unaona bank nisafe kuweka pesa sasa unaogopa nini wewe kwenda kuwekeza?
Vipi mkuu umeshajaribu kuwekeza utupe mrejeshoBenki zinajulikana Sasa hao sanlam Mimi nimewajua kupitia Vodacom
Yah nimewekeza wapo vizuri sanaVipi mkuu umeshajaribu kuwekeza utupe mrejesho
Mkuu ni kweli mana huko juu si niliona ulitoa pesa zakoYah nimewekeza wapo vizuri sana
Kwahiyo umezirudisha mkuu 😆 ila nilicheka sana hakikaKumbe ulikua unawapigia upatu matapeli Ili tutapeliwe aisee kumbe Kuna watu wanaroho mbaya sana humu au unalipwa mzee kutangaza wezi dah mungu kaniokoa nimesanuka mapema nishatoa pesa zangu zipo salama
Hahaha 🤣Benki zinajulikana Sasa hao sanlam Mimi nimewajua kupitia Vodacom
Hata ukitoa pesa zako faida yako ya siku hela yako iliyokaa siutapewa🤣🤣Kwahiyo umezirudisha mkuu 😆 ila nilicheka sana hakika
Hivi kumbe hata ukitoa pesa zote faida Yako ya siku pesa ilivyokaa unapata unapewaHahaha 🤣
Hata ukitoa pesa zako faida yako ya siku hela yako iliyokaa siutapewa🤣🤣
NdioHivi kumbe hata ukitoa pesa zote faida Yako ya siku pesa ilivyokaa unapata unapewa
tofauti na utt ni 1% tu, ambayo haiwezi ikanifanya nikahamia m pesa ambako msimamizi wa mfuko hajulikani, ambapo utt kila mtu anajua inasimamiwa na hazina ya jamhuri ya muungano wa Tz
Wake za watu kwenye mikopo achana nao watakukausha dakika sifuri hawafai wale tuchezage na na mishangazi tu.Oya tunga ishe mitaji tueakaushe hawa wake za watu
Wazo zuri sana kama wataliona nakulifanyia kazi itakuwa vzr sana japo sio rahisi kulikubali mana linawafaidisha zaidi wenyekikundi ,kuna mavikundi yanamipesa mingi sana kudamp milion 10,20 hadi 50 kwa mwaka kwao ni easly tuWangewezesha hela za mkoba ziweze kuwekezwa kwa kikundi ingekuwa safi sana
Achana nao hao wekeza UTTKwahyo kwamfano kama nimewekeza milioni1 kwa mwaka napata shingapi?
Yani unawekeza siku nne tu unataka faida hii nayo kali ! Mimi nilianza kidogo kidogo saivi nina kama 2.5M kila mwisho wa mwezi Interest wanaweka.Mzee hawa jamaa inaonekana matapeli tu ngoja nikatoe pesa zangu aisee umesema faida inakua inawekwa Kila siku ila mpaka Leo sikua ya nne account inasoma faida 0
Watu hawajafaham namna inavyofanya kazi. Mf leo nimeweka 1000/- nategemea kwa 13% mwaka mzima ni 11300/- ambapo faida ni 1300/-. Ukitaka kujua kwa mwezi nimekusanya ngap chkua hyo 1300÷12 utapata kama 108/- kila mwezi. Ukitaka kujua kwa siku unapata ngap chukua 108÷30=3.6 kila siku kama faida yako.Mgumu kuelewa wapi we si ulisema weekend hawaweki faida vipi na Leo sio siku ya kazi hapo hamna kitu
Hivi inachukua siku ngapi hadi faida kuanza kuonekana? Kwenye mkataba wao wana sema ukiwekeza siku za kazi yani j3 hadi ijumaa kabla ya saa tatu asubuhi basi faida utaanza kuiona siku inayofuata saa 8 mchana.Yani unawekeza siku nne tu unataka faida hii nayo kali ! Mimi nilianza kidogo kidogo saivi nina kama 2.5M kila mwisho wa mwezi Interest wanaweka.
Utaiona tu mkuu hao ni uhakika wanawekaHivi inachukua siku ngapi hadi faida kuanza kuonekana? Kwenye mkataba wao wana sema ukiwekeza siku za kazi yani j3 hadi ijumaa kabla ya saa tatu asubuhi basi faida utaanza kuiona siku inayofuata saa 8 mchana.
Atakaeweka baada ya saa 3 asubuhi faida ataona siku inayofuata saa 2 usiku
Sasa mkuu mie nimeweka kijisenti changu tangu jana saa 12 asubuhi ila hadi sasa faida inasoma 0 je hii imekaaje au hata nyie wazoefu ndo iko hivyo ni hadi mwisho wa mwezi ndo inaanza kuonekana??
Sawa mkuu maana nimeanza kuogopa kama ulivyokuwa ukiogopa wewe mwanzoniUtaiona tu mkuu hao ni uhakika wanaweka
Mbona iko powa tu mkuuApp yao inagoma shida ni nn wakuu