M2- DA- P reluctant to reveal info on what real happened the night mangwea died

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
mwanamuziki m2 the p alikuwa akihojiwa katika kipindi kimoja cha steshen flani ya radio, lakin jamaa amekuwa mgumu kueleza ni kitu gani kilitokea usiku aliokuwa pamoja na ngwea, anadai anaona uchungu which is quietly does not make sense, jamaa pia ameulizwa south alikuwa anafanya kazi gani lakini pia alishindwa jibu na kudai ni DILI za hapa na pale. Jamaa pia amedai ana mpango wa kuchora tatuu ya ngwea ktk mgongo wake, na ametambulisha nyimbo mpya, sasa inaonekana kama jamaa anatake advantage ya msiba wa mshikaji au labda ni fikra zangu ndogo za kujaji. Kuna habari zinazagaa sana kuwa vijana wa kitanzania wengi wanapiga dili za kimasogange(dawa) huko south , ila sijui ni tetes mana south sijafika. Ila kama redio ya wafu inamtoa ni sawa tu sikatai,:help:
 
Sasa mjomba kama ulikuwa hujasanuka ngoja nikusanue.. Wa2 wa hizo ishu kuna viapo huwa wanaapa hiyo ni pamoja na kutosema chochote kile endapo watadakwa na polisi au kutokewa na tukio kama lililowatokea m2 da p na marehem.. So jamaa kusema nini kilitokea hilo sahau kabsaa, kukumbuka anakumbuka vzr sana tena zaid ya sana ila hatakuja kusema mpk mwisho wa maisha yakeamam
 
Kama umemsikiliza,changanya na za kwako utaelewa walichokuwa wanafanya
 
kama mangwea hakufa kwa madawa hakuna haja ya kufichaficha ngada kuu imemuua
 
sasa jamaa linaficha kwanini walipe airtime? waliache libaki na misiri yake ila iko siku ataumbuka
 
sasa jamaa linaficha kwanini walipe airtime? waliache libaki na misiri yake ila iko siku ataumbuka

Lakini lijamaa limefunguka kisanii na inahitaji akili kulielewa, kwa upeo wangu na masikio yangu plus za kwangu lilisema kwamba hua hawabebi madawa from South Africa to Tanzania bali hua wanabeba madawa from Tanzania to South Africa.

Na kuhusu yeye kujihusisha na madawa alikiri kijanja kwa kusema kua mambo yote yanayohusu madawa wayaweke "under carpet" kwa maana kua atayazungumzia another day, sasa huoni hapo tayari keshafunguka kua yeye ni muhusika mzuri tu ktk madawa?

Kingine, alipoulizwa swali kua alienda kufanya nini bondeni alisema alienda kufanya show pamoja na "kupiga dili", jamani afunguke mpaka wapi sasa?
 
Hahaha hapo kwenye red nimecheka sana. Ila alichezea kifo kama atarudia tena basi atakuwa hana alternative
 
Hahaha hapo kwenye red nimecheka sana. Ila alichezea kifo kama atarudia tena basi atakuwa hana alternative

Kuna kudogoisha na kukubwaisha, mimi nimekubwaisha, hahahahaaa Mrembo by Nature nadhani ulinisoma vizuri na ndo maana ukacheka. By the way ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kudogoisha na kukubwaisha, mimi nimekubwaisha, hahahahaaa Mrembo by Nature nadhani ulinisoma vizuri na ndo maana ukacheka. By the way ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha.

Hela tamu sana, ukishaanza kuishika hutatamani kuiacha hasa ukiwa mtu wa unfixed job.....
 
Hela tamu sana, ukishaanza kuishika hutatamani kuiacha hasa ukiwa mtu wa unfixed job.....

Na ndo maana leo katambulisha goma lake jipya linakwenda kwa jina la kizulu "masambawena" (sijui nini maana yake) na akaahidi ataendelea kufyatua magoma ya kizulu kwa wingi kwa kadri atakavyoweza. Na kwa kua keshauza jina basi kuanzia hapo ni trip za "kwa shaka zulu" kwa kwenda mbele, uhamiaji watamkomaje?
 
Ndo ule ameimba na chegge? ila wamejitahidi. safari hii akikamwatwa lazima atiwe nyavuni...tupo na tutaona.
 
Ndo ule ameimba na chegge? ila wamejitahidi. safari hii akikamwatwa lazima atiwe nyavuni...tupo na tutaona.

Ndo huo ila suala la kutiwa nyavuni labda kama atakamatiwa kwa Xi Ji-ping lakini kama akikamatiwa kwa Madiba au huku kwetu ni rahisi kuchana nyavu si unaona masogange kafuatwa na pongo wetu kule bondeni ili aletwe hom then wamwachie?
 
Natamani wamkamatie china anyongwe kabisa.
 
Natamani wamkamatie china anyongwe kabisa.

Halafu umenikumbusha kuna tetesi nilisikia eti binti kiziwi kanyongwa, hebu nisaidie japo vijihabari kuhusu huyu mdada kama kweli kanyongwa ama la, na yule sijui nani alikamatiwa kule Misri kashahukumiwa ama bado? Mwisho namsihi em tu ze pii aachane kabisa na hizi ishu za sembe maana siku akikamatwa huenda akataabika sana.
 
Binti kiziwi hajanyongwa ila amefungwa 5 years hongkong (kama sijakosea) . kule wana baadhi ya mambo ambayo wanajitegemea bila kushirikiana na china ikiwemo sheria. W misri bado sijapata habarize
 
Binti kiziwi hajanyongwa ila amefungwa 5 years hongkong (kama sijakosea) . kule wana baadhi ya mambo ambayo wanajitegemea bila kushirikiana na china ikiwemo sheria. W misri bado sijapata habarize

Hallo hebu ngoja kwanza, sijakupata vizuri hapo kwenye nyekundu, Hongkong kwa Jiografia niliyosomeshwa najua ni mji ulioko nchini China, sasa kwa maelezo ulonipa naona ni kama umechukulia Hongkong kama nchi (ama sijakuelewa?).

Na kama Hongkong iko China nilidhani pia kua sheria ya kunyonga kwa wahalifu inatumika China yote. Ila nikirudia kusoma tena bandiko lako naona kama umezungumzia kua Hongkong ni mji ulioko China lakini unajitegemea kwa mambo mengine kama sheria (kama ulivyosema).

Niweke sawa dadangu maana hizi st kayumba zetu tulizosomeshwaga huenda tulipoteaga
 
Ntakujibu vizuri kesho nikitulia kuhusu china na hongkong , natoka online......

Ila haya ni maneno ya www.sintah.com

"unakumbuka hapo kitambo tuliandika hii story kwamba mwanadada Sandrah amekamatwa Hong Kong na sembe? sasa hukumu yake imekwisha somwa na atalitumikia Gereza lililopo Hong Kong kwa muda wa miaka mitano ndipo arejee Bongoland"
 
Nitashukuru kwa elimu. bye.
 
Nitashukuru kwa elimu. bye.

[h=1]What Country is Hong Kong in?[/h][h=2]China or Not?[/h]By Rory Boland, About.com Guide

See More About:

Hong Kong Flag
Getty Images/Stockbyte

The world's original international city, many people ask what country is Hong Kong in? The answer isn't as simple as it may seem; with its own money, passports and legal system Hong Kong isn't quite Chinese, but with Chinese flags flying from its buildings and Beijing appointing its chief executive it isn't quite independent. We unravel exactly what country Hong Kong is in.

Until 1997, and the Hong Kong handover, Hong Kong was a colony of the United Kingdom, ruled by a governor. Today, the Hong Kong Special Administrative Region (SAR) is a part of China, although this comes with a biblical size of caveats.
Hong Kong's Basic Law, as agreed between China and Britain, means Hong Kong will retain its own currency (the Hong Kong dollar), legal system, and parliamentary system for fifty years. This means, for all practical purposes, Hong Kong is actually a separate country to China.
Visitors to Hong Kong, who usually receive visa free access, will have to apply for a visa to visit China. Chinese nationals also require permits to visit Hong Kong. Hong Kong and China maintain a border. China maintains a sort of quasi embassy in Hong Kong via the Chinese ministry of foreign affairs.
The Chinese Reminibi is not accepted in Hong Kong, expect in a handful of stores. The Hong Kong dollar is not legal tender in China.
Hong Kong has a wholly separate legal system to China.
Hong Kongers have their own separate passports, the HKSAR passport.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…