ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
mwanamuziki m2 the p alikuwa akihojiwa katika kipindi kimoja cha steshen flani ya radio, lakin jamaa amekuwa mgumu kueleza ni kitu gani kilitokea usiku aliokuwa pamoja na ngwea, anadai anaona uchungu which is quietly does not make sense, jamaa pia ameulizwa south alikuwa anafanya kazi gani lakini pia alishindwa jibu na kudai ni DILI za hapa na pale. Jamaa pia amedai ana mpango wa kuchora tatuu ya ngwea ktk mgongo wake, na ametambulisha nyimbo mpya, sasa inaonekana kama jamaa anatake advantage ya msiba wa mshikaji au labda ni fikra zangu ndogo za kujaji. Kuna habari zinazagaa sana kuwa vijana wa kitanzania wengi wanapiga dili za kimasogange(dawa) huko south , ila sijui ni tetes mana south sijafika. Ila kama redio ya wafu inamtoa ni sawa tu sikatai,:help: