M23 Kamanyola

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
watutsi tuko vizuri mazee dah...wakongoman wazidi kutukatia maunooo
 
Shida ni kiwa inawezekana kuwa vita inapiganwa kitoka nje ya DRC na nje ya bara giza na pengine wanaopiganishwa hawajui nini kinawatokea kwa kuwa wanawaza kula na kushiba na hata kuvimbiwa pekee.
 
Hao wananchi hawaogopi tena Kwamba M23 wanaweza kufumuliwa na wao wakateketea hapo hapo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…