kaputula
Member
- Mar 29, 2012
- 97
- 128
Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir.
Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la Darfur kwa kuwaua au kuwageuza wakimbizi nje ya Sudan.
Baada ya el Bashir kushindwa kijeshi kuwadhibiti akafanya nao maelewano. Janjaweed ikawa kikosi maalum kwenye jeshi la Sudan kikiitwa Rapid Support Force (RSF).
Hicho ndio kikosi kiliwaua maelfu ya waafrika weusi Darfur na sasa kimeasi kinapigana na jeshi la taifa kugombea kuongoza nchi hiyo ya Sudan kwa madhumuni ya kuendeleza itikadi yake ya ubaguzi wa kimbari.
Ukija huku kwa M23 pamoja na janja chungu nzima kuonesha kama ni wazalendo wenye kupigania haki ukweli ni kikosi cha watutsi wenye kiu ya kiasili na ya kihistoria ya mbari yao ya kihima. Wanachotaka ni wao kutawala na kuongoza nchi zetu.
Ukimsikiliza Kagame utasikia akisema anawaunga mkono m23 kwani wanapigania haki ya wenye asili ya kinyarwanda Congo kubaguliwa kisiasa na kiuchumi.
Lakini mwenyewe hawezi kujibu kwamba mbona m23 ni watutsi tu wakati congo wapo wanyarwanda mbari ya kibantu na ndio wengi kabisa kwa asilimia zaidi ya 80.
Kagame na Rwanda wasipodhibitiwa wataleta maafa makubwa sana Afrika ya kati yote. Tamaa ya kurejesha utawala wa wahima kuwatawala kabila za mbari ya kibantu hilo hatutalikubali kabisa. Kila nchi iko hatarini kwa uchochezi wa Rwanda.
Kabila za kihima ziko sehemu zote maziwa makuu. Tanzania, Drc, Burundi, Rwanda na Uganda. Kwa wale mbari ya kibantu ambao ndio wengi kabisa Afrika ya kati na kusini bado wako usingizini wahima kwa sasa wameshika uongozi Uganda na Rwanda.
Japo hua ni wachache kabisa kila nchi hawafiki asilimia 15 wao wanataka ndio washike madaraka. Bila wao kuongoza na kutawala uongozi wa nchi wataita ni mbaya. Kwao wahima tu ndio wana akili wengine hawajui kitu.
Sasa hivi hawa jamaa zetu wameamua kutumia nguvu za kijeshi na mpango wao unaendana na njama za mabeberu wa nchi za ulaya kuhakikisha hakuna utulivu Afrika kusudi waweze kuendelea kuiba na kulinyonya bara la afrika.
Kutokana na hivyo nchi za kibeberu wanashirikiana na Rwanda na Uganda kufanikisha vurugu zinazosababishwa na ndoto za kina Paul Kagame na Sultani Makenga kwamba mbari ya kihima ndio wawe wabwana wakubwa kwenye nchi zetu.