M23 ndani ya Uganda kwa ajili ya mazungumzo ya Amani

Amani itembee kwa mtutu, hakuna huruma kwa hawa M23.
 
Hivi hawa jamaa huwa wakiwa DRC wanapigana hamna cha kujuana hata kidogo ila wakiwa Kampala wanakaa meza moja wanazungumza peacefully kwamba tukirudi DRC tuendelee kupigana au tuache. smh!!
 
M23 mbona bado wanasumbua sana kwanini msende huko uganda mkawashika wote
 
yea right! wapi umeona mtu akishamchapa mwenzie anarudi nyuma 30km na kuachia ngome zake? M23 wamechapwa na kama kawaida yao wakishachapwa wanajifanya watu wa amani baadae wanaanza ooh tunakwenda hadi kinshasa...haya mazungumzo ni mbinu ya M23 kukwepa kichapo na kupoteza makomandoo wa Rwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…