Ni kweli ceasefire sio jambo baya lakini ninavyojua ni kwamba ceasefire huwa ni baina ya pande mbili zinazokinzana i.e.Congo vs M23.. Sasa hapo M23 wamekubaliana na majeshi ya congo? Hiyo ceasefire imekaaje- mbona ni M23 wamejitangazia wao wenyewe?Ceasefire sio jambo baya sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.
Waw! Zinachapwa ukumbini Tz na hadi kule frontline nako zinachapwa - daadek'.Wale wakija Tz ukumbini lazma zichapwe..
Hapa Waasi wanataka Good Publicity ili waonekane kuwa wao sio Warmongers bali ni watu wanaopigania haki zao na wenye kujali Raia wao.Ni kweli ceasefire sio jambo baya lakini ninavyojua ni kwamba ceasefire huwa ni baina ya pande mbili zinazokinzana i.e.Congo vs M23.. Sasa hapo M23 wamekubaliana na majeshi ya congo? Hiyo ceasefire imekaaje- mbona ni M23 wamejitangazia wao wenyewe?
Huo ni mwiba. Tega nikutege. Hapo mrefuu katulia anaangalia kinachoendelea ili apate uhalali wa kuingia mazima.Hapa Waasi wanataka Good Publicity ili waonekane kuwa wao sio Warmongers bali ni watu wanaopigania haki zao na wenye kujali Raia wao.
Majeshi ya Kongo yataonekana ni yenye kupenda Damu na Brutality.
M23 ni kakikundi kamoja ndani ya makundi zaidi 150 ndani ya misitu ya DRC.....Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Naam. Hiyo ndo dawa itakayowaingia na akili zikae sawa.ujanja wa kuzuia maazimio ya Summit. Hatudanganyiki. Ramappsa achia Long Range Missiles hadi Kigali
Lakini timming ya Waasi ilikuwa nzuri sana haswa ya kulianzisha katika kipindi hichi cha Mvua nzito huko Mashariki ya Kongo, hata kama SADC wataenda mazima kazi yao kubwa itakuwa ni kutoa equipments kwenye matope huku waasi wakishambua.Huo ni mwiba. Tega nikutege. Hapo mrefuu katulia anaangalia kinachoendelea ili apate uhalali wa kuingia mazima.
Hapo mrefuu amebugi sana. Vitu vizito havinaga cha mvua wala matope. Si umeona mfano wa Ukraine vs Urussi? eti baridi kali na matope vitakuwa ni vikwazo. Kumbe waapi. Ngoma inadundwa mdudo kama wote. Hayo mapori/misitu yameshafanyiwa Simulation kitambo na hakuna kisichajulikana hapo -pote panafikika bila shida. Ngoja ajichanganye ndipo atajua alikuwa hajui mzinga wa nyuki haukumbatiwi.Lakini timming ya Waasi ilikuwa nzuri sana haswa ya kulianzisha katika kipindi hichi cha Mvua nzito huko Mashariki ya Kongo, hata kama SADC wataenda mazima kazi yao kubwa itakuwa ni kutoa equipments kwenye matope huku waasi wakishambua.
Nadhani hii Strategy ya Mr Slim ni mtego hatari.
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Inaonekana unajua mengi kuhusu watutsi wenzako. Mapatano na nani ? Na FLDR wanahusikaje ? Kagame kifupi ni mwehu na kichaa wa damu za watu. Mbona kuna mwingiliano wa makabila Tanzania na Kenya wamasai na wakurya Tarime, Tanzania na Burundi waha Kigoma, Tanzania na Msumbiji wamakonde lakini husikii migogoro eti kuwatetea jamii moja iliyoko nchi ya jiranj kama anavyowatetea Banyamulenge watutsi waliopo Congo..Ceasefire sio jambo baya, sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.
Wajaluo Tz na Wajaluo Kenya.Inaonekana unajua mengi kuhusu watutsi wenzako. Mapatano na nani ? Na FLDR wanahusikaje ? Kagame kifupi ni mwehu na kichaa wa damu za watu. Mbona kuna mwingiliano wa makabila Tanzania na Kenya wamasai na wakurya Tarime, Tanzania na Burundi waha Kigoma, Tanzania na Msumbiji wamakonde lakini husikii migogoro eti kuwatetea jamii moja iliyoko nchi ya jiranj kama anavyowatetea Banyamulenge watutsi waliopo Congo..
2-in-1? Bora wasichome nauli..Kama Kagame atakuwepo hakuna haja ya m23 kuhudhuria.
Mkuu sisi wenyewe huko Kagera mvua zilitutatiza sana sema tu Jeshi la Amini walikuwa ni wachovu na Waganda walikuwa wamegawanyika sana wengine walikuwa upande wetu. Lile tope la Ukraine huwezi kulifananisha na la DRC na bado Waasi wakiamua kuzika anti tank mines na anti personal itakuwa ni hatari sana.Hapo mrefuu amebugi sana. Vitu vizito havinaga cha mvua wala matope
Kivip mkuu, wakati kagame ndo mkuu wa M23Kamwe hawawezi kualikwa!
Hata wahaya wa Kyaka na waganda.Wajaluo Tz na Wajaluo Kenya.
Amealikwa Kagame ambaye ni Rais wa Rwanda na siyo kamanda wa M23!Kivip mkuu, wakati kagame ndo mkuu wa M23
SureWale wakija Tz ukumbini lazma zichapwe..