Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Ni kweli ceasefire sio jambo baya lakini ninavyojua ni kwamba ceasefire huwa ni baina ya pande mbili zinazokinzana i.e.Congo vs M23.. Sasa hapo M23 wamekubaliana na majeshi ya congo? Hiyo ceasefire imekaaje- mbona ni M23 wamejitangazia wao wenyewe?Ceasefire sio jambo baya sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.