M23 yaitia doa, dosari na hasara Afrika Kusini

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC,

Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika kuwa,wanajeshi wake wakijisikia kutembea mjini Goma,wanaruhusiwa,ila, bila silaha.

Changamoto kubwa upande wa South Africa:

Inasemekana, thamani ya silaha za South Africa zilizopelekwa Goma na kuishia mikononi mwa M23, ni Rand Bilioni 9.

M23 na yenyewe,haipo tayari kuachia hata risasi moja.
Hivyo,South Africa, inakabiliwa na hasara kubwa sana.

Ikumbukwe,bungeni,walilalamikia waziri wa ulinzi,kuhusu teknologia na silaha hizo,na hakupata jibu.

Hakika mchawi wa M23 si wa dunia hii.
 
siwaoni wakidumu hao m23.............harakati zao ni za kihuni mbele ya wastaarabu.
 
Washauziwa hao hakuna cha bure dunia ya sasa ni either utalipa gharama au utarudisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…