M23 yaituhuhumu MONUSCO kuwaachia huru badhi ya wanajeshi na waasi wa FDLR

M23 yaituhuhumu MONUSCO kuwaachia huru badhi ya wanajeshi na waasi wa FDLR

Af na nyie bhana. Sasa mnaposikia mashirika ya umoja wa mataifa, hiyo si ni ajira? Vita vikiisha watakula wapi? Mishahara yao unakuta dereva analipwa kama dola elfu 5, na huyo anaonekana kama mbuzi tu. Je, wa ofisini? Lazima wahakikishe wanatengeneza ajira.
Umesikia MONUSCO iliachia watu 100 kuvuruga amani mjini Goma. Unadhani nani atasema waondoke wakati hakuna amani? Lazima watengeneze migogoro wapate kubaki. Sema tall akisema wanamuona gaidi,lakini vitu vingine ana point. Wapi waliwahi kwenda amani ikapatikana?
Mie nipo pamoja na Tolu
 
kikundi cha waasi hakina ukomo wa idadi ya watu lakin inasemekana m23 ni kikundi cha waasi wenye asili ya kitutsi waishio kongo. Hapo ndio penye shaka. Wale watutsi ni kabila dogo linawezaje kuwa na jeshi kubwa hivo? Utadhan hawafi wakati wanauana miaka nenda rudi kabila gan dogo lenye jeshi kubwa hivo? Waseme ukweli rwanda na uganda ndio wanaopiga wakongo kwa mwamvuli wa m23
Unajua kuna mtu nilimueleza nikamwambia ile m23 ina mpaka wabongo watu wanapiga ndondo mle akakazana sana , m23 hii ya sasa sio ile unga unga mwana
 
Ni wakimbizi kibaya zahdi wanataka kutawala kipande cha aridhi ndani ya taifa la
Sawa hao watusi walivamia hayo maeneo

Kwa mujibu wa ripoti ya UN, Rwanda ina askari 4000+ waliopo Drc wakipagana bega kwa bega na M23.

ukweli nh kwamba m23 sio wakongo ni jeshi la rwanda na uganda ndo wamevamia kongo kwa mwamvuli wa m23
 
Ni wakimbizi kibaya zahdi wanataka kutawala kipande cha aridhi ndani ya taifa la

ukweli nh kwamba m23 sio wakongo ni jeshi la rwanda na uganda ndo wamevamia kongo kwa mwamvuli wa m23
Huna akili wewe watusi ni WA kimbizi tangia lini hapo goma nimegundua Kuna mijitu kama wewe hata haijui huo mgogoro ila inajifanya mijuaji eti watusi wakimbizi
 
Huna akili wewe watusi ni WA kimbizi tangia lini hapo goma nimegundua Kuna mijitu kama wewe hata haijui huo mgogoro ila inajifanya mijuaji eti watusi wakimbizi
tulia mdogo huna unalolijua, ndo tatizo la vijana wa siku hizi jambo usilolijua unakimbilia kutukana. Wewe hujui historia ya watutsi au unazingatia ile clip ya hotuba ya nyerere. Mimi nawajua wanyamulenge wale ni wakimbizi wa rwanda
 
Back
Top Bottom