MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi.
Watoa huduma wote, wanatakiwa kuhakikisha hudua zinapatikana ipasavyo.
Ikumbukwe, mkuu wa Kivu kasikazini, marehemu Chirimwami, alikuwa amefunga safari za mida ya usiku,njia za maji na ardhini.