MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali.
Bwana BAHATI MSANGA JOSEPH, ndo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Ikumbukwe, siku za nyuma serikali ilimteua MAJOR GENERAL Evariste Kakule somo kuchukuwa nafasi ya Chirimwami aliyeuliwa na kundi hilo la M23. SONKO ofisi zake zipo Beni. Hivyo, katika majimbo ya Kivu Kasikazini, asilimia kubwa mpaka sasa utawala upo chini ya M23, na Beni, ambayo nusu yake ipo mikononi mwa FARDC, ndo itakuwa makao makuu ya sehemu ambayo haikuangukia mikononi mwa kundi hilo.