MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Hivi majeshi hayawezi kutumia majasusi wenye miili ya kawaida kuwavuruga m23 kwa kujiunga nao ? na kupandikiza chuki baina yao kutowesha umoja? Kuna nini?Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali.
Bwana BAHATI MSANGA JOSEPH, ndo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Ikumbukwe, siku za nyuma serikali ilimteua MAJOR GENERAL Evariste Kakule somo kuchukuwa nafasi ya Chirimwami aliyeuliwa na kundi hilo la M23. SONKO ofisi zake zipo Beni. Hivyo, katika majimbo ya Kivu Kasikazini, asilimia kubwa mpaka sasa utawala upo chini ya M23, na Beni, ambayo nusu yake ipo mikononi mwa FARDC, ndo itakuwa makao makuu ya sehemu ambayo haikuangukia mikononi mwa kundi hilo.
View attachment 3226367
View attachment 3226368
Hahahahahahha, kwa hiyo, unadhani ni jambo la siku moja? Wenzetu jambo kama hilo hulipanga kwa muda wa zaidi ya miaka 100. Sisi wa Afrika tunawa jambo la muda huo, wenzetu wanawawazia vitukuuHivi majeshi hayawezi kutumia majasusi wenye miili ya kawaida kuwavuruga m23 kwa kujiunga nao ? na kupandikiza chuki baina yao kutowesha umoja? Kuna nini?
Huyo kakule washapita nae breaking newsMmh Hapo Goma Ukipewa Ukuu wa Mkoa Huna Raha kabisa muda Wowte panawaka
ππππππππππππππHuyo kakule washapita nae breaking news