Stud
Member
- Jun 13, 2020
- 18
- 11
sifa zake:
- inapima mapigo ya moyo, blood pressure pia ina hesabu hatua.
- inakupa taarifa kama kuna sms au mtu anapiga kwenye simu yako.
- inakuonesha notification za mitandao ya kijamii
- chaji inakaa hadi siku 5-10.
waterproof yaani inaweza kukaa kwenye maji kwa dakika 30 bila kuharibika.
- inafanya kazi kwenye android na ios.
- n.k
malipo: ni baada ya kuletewa mzigo kwa watu wa Dar e salaam.
Bei: 35000