M4M-Movement 4 Mkopo

M4M-Movement 4 Mkopo

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
408
Reaction score
435
Ndugu wanaharakat wenzangu napendekeza hii movement ya kudai haki yetu ya mkopo tuiite M4M. see u ofis ndogo za bunge j4
 
Asee hii nchi bhana si watoe tamko moja tu kama hela ya kuwapa ipo au haipo sababu vyuo vingi vimeshafunguliwa na wanazidi kuwazungusha tu.!
but UNIT ndo inayotakiwa ili kupata haki
2gether we can.!
 
Asee hii nchi bhana si watoe tamko moja tu kama hela ya kuwapa ipo au haipo sababu vyuo vingi vimeshafunguliwa na wanazidi kuwazungusha tu.!
but UNIT ndo inayotakiwa ili kupata haki
2gether we can.!

big like lazima niwepo
 
MUNGU husimama upande wa wanaodhulumiwa haki yako... Mtashinda tu.
 
Back
Top Bottom