Ma cashier wa mwendo kasi wana ujanja wa kuuza ticket za mwanafunzi kwa watu wazima kisha kinachozidi 450 ni chao.

Utarogwa wewe 🙄🙄🙄
 
Tz bado sana yaani mradi unamachine za scan kila kitu ila wahusika wameua mfumo wa kieletronic na kutumia manual way yaani unauziwa ticket then mkaguzi anaiangalia kwa macho na kuichana..
Hii ni harasa sana bora tuwaachie wawekezaji wa njee wasimamie kila kitu..
 
Unaweza kutueleza umepigwa vipi? Umelipishwa nauli zaidi ya 650?
 
Bila NCard kutumika, wanafunzi wabakiziwe ticket za karatasi, hizi kampuni hasara haitaisha kamwe
 
Unaweza kutueleza umepigwa vipi? Umelipishwa nauli zaidi ya 650?

Ukisoma post yangu vizuri utaelewa. Wengine wote wameelewa sababu wamesoma kwa umakini.

Naomba usome tena kwa umakini utaona nimepigwaje
 
Kweli watz ndio tumefika hapa hi Ni hatari Kama taifa badala mpambane walipwe vzr na kuboreshewa maslai yao ili waache wiz nyinyi mnafurajishwa na upigaji
Kwani mwendokasi ni serikali?
 
Mbona hujasema za mwigulu alizonunua gari ya 560M yaani umeona hako 450. Acha na wale si urefu wa kamba yake ama hujaelewa. Kausha Sasa mtu anafukuzwa kazi hapo Sasa sijui unafurahi umkute sinza ama buguruni anajiuza.


Umeona ujanja huo tu hujaona makamba alivyokodi software za kufuatilia kukatika umeme tu kwa 69bilioni mkuu,Ila unakomaa na vidagaa.
Unajua huko bandarini mita haisomi ujazo wa Lita zinazopita ama umesahau wale waliojiunganishia bomba from bandarini mpaka nyumbani kwao na husikii kesi yao.
 
Acha roho mbaya wewe, mbona unaharibia wenzako? Bora mkose wote au siyo?
 
Kwani mwendokasi ni serikali?
Kwa hyo Kam siyo serekali ndio waibiwe waswas .nijuavyo mm kampuni hi inamilikiwa na serekali hata mkurugenzi wake mkuu alikuwa tra ndio aliyeamishiwa kule
 
Kwan mshahara wao n sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…