Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utarogwa wewe 🙄🙄🙄Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja wakija wanapokea hela na kuwapa tiket tu fasta.
Ma cashier hawa wanajua wa Tanzania hatuna tabia ya kusoma tiketi imeandikwa nini. Hapo ndipo wanapata mwanya.
Mtu mzima unatoa 650 yeye anakupa tiketi ya 200. Kisha 450 inakuwa yake kwenye hesabu.
Kwa siku akiwauzia watu 100 tu anaondoka zake na cha juu 45000 kwa ulaini..
Na hao 100 ni wachache sana maana mwendo kasi kwa siku inahudumia maelfu kama sio malaki ya watu.
Jana nimesoma tiketi nikakuta nimeuziwa ya 200 asubuhi.. na jioni ya leo tena kituo kingine napo nikauziwa ya 200 tena.
Nikawaza siku ambazo sikusoma tiketi plus abiria wenzangu kibao nao hawasomi tiketi jinsi wanavyopigwa
Tz bado sana yaani mradi unamachine za scan kila kitu ila wahusika wameua mfumo wa kieletronic na kutumia manual way yaani unauziwa ticket then mkaguzi anaiangalia kwa macho na kuichana..Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja wakija wanapokea hela na kuwapa tiket tu fasta.
Ma cashier hawa wanajua wa Tanzania hatuna tabia ya kusoma tiketi imeandikwa nini. Hapo ndipo wanapata mwanya.
Mtu mzima unatoa 650 yeye anakupa tiketi ya 200. Kisha 450 inakuwa yake kwenye hesabu.
Kwa siku akiwauzia watu 100 tu anaondoka zake na cha juu 45000 kwa ulaini..
Na hao 100 ni wachache sana maana mwendo kasi kwa siku inahudumia maelfu kama sio malaki ya watu.
Jana nimesoma tiketi nikakuta nimeuziwa ya 200 asubuhi.. na jioni ya leo tena kituo kingine napo nikauziwa ya 200 tena.
Nikawaza siku ambazo sikusoma tiketi plus abiria wenzangu kibao nao hawasomi tiketi jinsi wanavyopigwa
[emoji23][emoji23] kuna mwambaa kasema kwa hiloo anataka katiba mpyaUnataka na hili wakalitazame?
Waache wale kwa urefu wa kamba zao.
Harogwi mtu.Utarogwa wewe 🙄🙄🙄
Unaweza kutueleza umepigwa vipi? Umelipishwa nauli zaidi ya 650?Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja wakija wanapokea hela na kuwapa tiket tu fasta.
Ma cashier hawa wanajua wa Tanzania hatuna tabia ya kusoma tiketi imeandikwa nini. Hapo ndipo wanapata mwanya.
Mtu mzima unatoa 650 yeye anakupa tiketi ya 200. Kisha 450 inakuwa yake kwenye hesabu.
Kwa siku akiwauzia watu 100 tu anaondoka zake na cha juu 45000 kwa ulaini..
Na hao 100 ni wachache sana maana mwendo kasi kwa siku inahudumia maelfu kama sio malaki ya watu.
Jana nimesoma tiketi nikakuta nimeuziwa ya 200 asubuhi.. na jioni ya leo tena kituo kingine napo nikauziwa ya 200 tena.
Nikawaza siku ambazo sikusoma tiketi plus abiria wenzangu kibao nao hawasomi tiketi jinsi wanavyopigwa
Kweli watz ndio tumefika hapa hi Ni hatari Kama taifa badala mpambane walipwe vzr na kuboreshewa maslai yao ili waache wiz nyinyi mnafurajishwa na upigajiKikubwa si unafika
Acheni upuuz bas hili siyo sawaUnataka na hili wakalitazame?
Waache wale kwa urefu wa kamba zao.
Unaweza kutueleza umepigwa vipi? Umelipishwa nauli zaidi ya 650?
Kwani mwendokasi ni serikali?Kweli watz ndio tumefika hapa hi Ni hatari Kama taifa badala mpambane walipwe vzr na kuboreshewa maslai yao ili waache wiz nyinyi mnafurajishwa na upigaji
Mbona hujasema za mwigulu alizonunua gari ya 560M yaani umeona hako 450. Acha na wale si urefu wa kamba yake ama hujaelewa. Kausha Sasa mtu anafukuzwa kazi hapo Sasa sijui unafurahi umkute sinza ama buguruni anajiuza.Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja wakija wanapokea hela na kuwapa tiket tu fasta.
Ma cashier hawa wanajua wa Tanzania hatuna tabia ya kusoma tiketi imeandikwa nini. Hapo ndipo wanapata mwanya.
Mtu mzima unatoa 650 yeye anakupa tiketi ya 200. Kisha 450 inakuwa yake kwenye hesabu.
Kwa siku akiwauzia watu 100 tu anaondoka zake na cha juu 45000 kwa ulaini..
Na hao 100 ni wachache sana maana mwendo kasi kwa siku inahudumia maelfu kama sio malaki ya watu.
Jana nimesoma tiketi nikakuta nimeuziwa ya 200 asubuhi.. na jioni ya leo tena kituo kingine napo nikauziwa ya 200 tena.
Nikawaza siku ambazo sikusoma tiketi plus abiria wenzangu kibao nao hawasomi tiketi jinsi wanavyopigwa
Ukisoma post yangu vizuri utaelewa. Wengine wote wameelewa sababu wamesoma kwa umakini.
Naomba usome tena kwa umakini utaona nimepigwaje
Acha roho mbaya wewe, mbona unaharibia wenzako? Bora mkose wote au siyo?Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja wakija wanapokea hela na kuwapa tiket tu fasta.
Ma cashier hawa wanajua wa Tanzania hatuna tabia ya kusoma tiketi imeandikwa nini. Hapo ndipo wanapata mwanya.
Mtu mzima unatoa 650 yeye anakupa tiketi ya 200. Kisha 450 inakuwa yake kwenye hesabu.
Kwa siku akiwauzia watu 100 tu anaondoka zake na cha juu 45000 kwa ulaini..
Na hao 100 ni wachache sana maana mwendo kasi kwa siku inahudumia maelfu kama sio malaki ya watu.
Jana nimesoma tiketi nikakuta nimeuziwa ya 200 asubuhi.. na jioni ya leo tena kituo kingine napo nikauziwa ya 200 tena.
Nikawaza siku ambazo sikusoma tiketi plus abiria wenzangu kibao nao hawasomi tiketi jinsi wanavyopigwa
Amekuja na mbio za mwenge, no wonder.Kausha. Kwanza umeingia mjini lini?
Kwa hyo Kam siyo serekali ndio waibiwe waswas .nijuavyo mm kampuni hi inamilikiwa na serekali hata mkurugenzi wake mkuu alikuwa tra ndio aliyeamishiwa kuleKwani mwendokasi ni serikali?
Kwan mshahara wao n sh ngapi?Jamani tuseme ukweli,maisha haya ya ajira za kibongo Kama hauna side job unadhalilika Sana..
Ndugu mwandishi nikuambie tu,hakuna watu wenye maisha magumu Kama wakata tiketi na madereva mwendokasi,wale jamaa hawanaga mishahara ya maana alafu mbaya zaidi kwa dereva yeye anakusanya abiria tu kwenye like Safina Kama alivyoagizwa na kuwapeleka destination aliyopangiwa na hapati hata buku Kama posho .. zile suti zisikutishe...