Ma-celeb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Mabinti maceleb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari.
1) kuwa na mahusiano kwa malengo
2) kuzaa kwa malengo
3) kujua kutumia fursa ya mwanaume uliye naye.

Leo mtu anatoka anandika na kulalamika kuwa Zari anapiga deals kubwa mbele ya wasichana warembo wa Tanzania akasahau uzuri bila akili ni kazi bure.

Hivi nimekaa nikajiuliza Diamond Platnumz ashawahi kuwa na mahusiano na mabinti wa ngapi mbona hakuna aliyewahi kupiga deals kama hizi nikagundua hawakuwa na akili za kutumia fursa kama Zari.
Nikajiuliza ina mana wapenzi wa diamond hawakuona fursa ya kuzaa na jamaa nikagundua waliendekeza sana ujana wakahofia kuharibu usichana wao ila Zari aliona kabisa akizaa na Diamond Platnumz hazai watoto bali anazaa asset.

Naomba niwatoea hawa Jokate Mwegelo, Flaviana Matata Millen Magese mana hawa wanajitambua na wanapiga deals zao vizuri tena wengine mpaka nje ya nchi na tusiwatumie kama vigezo kabisa mana wao wana mambo yao ya msingi.

Zari amefanya kitu kidogo tu ameunganisha nguvu ya mahusiano yao ndio hapo anatembea na chaki na mabinti zetu wasisahau huu ubalozi ni baina ya wapenzi Zari na Diamond Platnumz. Watu mmekaa na Diamond Platnumz miaka 9 mmeshindwa kumtumia vizuri katoka mtu nje ya nchi kamtumia mnalalamikaje wakati miaka yote mlikuwa naye.

BEAUTY WITH BRAIN ndio wanachokosa dada zetu hawa.Wanawekeza uzuri wao katika kutafuta wanaume wanategemea nini. Mwanamke ana idadi kubwa ya wanaume aliotembea nao kuliko idadi ya kazi zake unategemea nini.

Mastaa siku hizi wa TZ wanaongoza kwa kuwa na mafekero ya kutukania watu kuliko idadi ya asset zao.

ZARI NI BRAND KUBWA:Leo jiulize msichana gani staa angeweza kujaza watu MLIMANI CITY haya makampuni yanajitambua sana

Naomba mwacheni mganda huyu aendelee kutoa somo kwa dada zetu. Wakati mnanunua bando za kumtukana yeye anakata tiketi za ndege kwenda kuingia mikataba minono ya hela. Zari anawafundisha mastaa wetu maana ya neno showbiz less drama more money.

Endeleeni kumuita mzee kama nyie umri wenu unarudi nyuma.

*****Kwa hisani ya mdau hukooooooo Instagram. Nimeileta hapa kwa kuona inaweza kutusaidia kuwaamsha hawa dada zetu na wakaka wengine wanaolalamika tu bila kufikiria.*****

Kumbe celebs wa kitz wao wanawaza chini na pochi au co
 
Wakina Asha ngedere wanacho jua ni kupiga picha za uchi na kutukana walio fanikiwa na kuwachukia.........
Kila kukicha makalio nje... kukaa uchi nani achukue taka taka zikafungue biashara zao kama si kutafuta laana kwenye biashara?
Mtalalamika sana mwaka huu na mtaanzisha kila kampeni lakini mnatakiwa kuanzisha kampeni ya kumrudisha Sammata,Flavian nyumbani ili wasichukue kazi za watu.....huo ndio utakuwa uzalendo....

Ni kazi ngumu sana kutafuta macelebrity wa kike wanao jielewa ili kufanya nao kazi....
Wengi ni wajinga wajinga.... wanachojua ni kuporana mabwana na kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe.
 
Ukweli mchungu..Zari anajua kutumia fursa namkubali huyo Dada/Mama tiffa.. wewe endelea kulalamaa Ooh GSM wabaguzi wanawaacha models wa TZ wanamchukua Zari wa Uganda...Watu wanaingiza hela wewe baki kulalama
 
Mabinti maceleb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari.
1) kuwa na mahusiano kwa malengo
2) kuzaa kwa malengo
3) kujua kutumia fursa ya mwanaume uliye naye.

Leo mtu anatoka anandika na kulalamika kuwa Zari anapiga deals kubwa mbele ya wasichana warembo wa Tanzania akasahau uzuri bila akili ni kazi bure.

Hivi nimekaa nikajiuliza Diamond Platnumz ashawahi kuwa na mahusiano na mabinti wa ngapi mbona hakuna aliyewahi kupiga deals kama hizi nikagundua hawakuwa na akili za kutumia fursa kama Zari.
Nikajiuliza ina mana wapenzi wa diamond hawakuona fursa ya kuzaa na jamaa nikagundua waliendekeza sana ujana wakahofia kuharibu usichana wao ila Zari aliona kabisa akizaa na Diamond Platnumz hazai watoto bali anazaa asset.

Naomba niwatoea hawa Jokate Mwegelo, Flaviana Matata Millen Magese mana hawa wanajitambua na wanapiga deals zao vizuri tena wengine mpaka nje ya nchi na tusiwatumie kama vigezo kabisa mana wao wana mambo yao ya msingi.

Zari amefanya kitu kidogo tu ameunganisha nguvu ya mahusiano yao ndio hapo anatembea na chaki na mabinti zetu wasisahau huu ubalozi ni baina ya wapenzi Zari na Diamond Platnumz. Watu mmekaa na Diamond Platnumz miaka 9 mmeshindwa kumtumia vizuri katoka mtu nje ya nchi kamtumia mnalalamikaje wakati miaka yote mlikuwa naye.

BEAUTY WITH BRAIN ndio wanachokosa dada zetu hawa.Wanawekeza uzuri wao katika kutafuta wanaume wanategemea nini. Mwanamke ana idadi kubwa ya wanaume aliotembea nao kuliko idadi ya kazi zake unategemea nini.

Mastaa siku hizi wa TZ wanaongoza kwa kuwa na mafekero ya kutukania watu kuliko idadi ya asset zao.

ZARI NI BRAND KUBWA:Leo jiulize msichana gani staa angeweza kujaza watu MLIMANI CITY haya makampuni yanajitambua sana

Naomba mwacheni mganda huyu aendelee kutoa somo kwa dada zetu. Wakati mnanunua bando za kumtukana yeye anakata tiketi za ndege kwenda kuingia mikataba minono ya hela. Zari anawafundisha mastaa wetu maana ya neno showbiz less drama more money.

Endeleeni kumuita mzee kama nyie umri wenu unarudi nyuma.

*****Kwa hisani ya mdau hukooooooo Instagram. Nimeileta hapa kwa kuona inaweza kutusaidia kuwaamsha hawa dada zetu na wakaka wengine wanaolalamika tu bila kufikiria.*****

UMETOA KITU TAMU ILA INAUMA.NAONGEZEA NA PICHA.NI MFANYABIASHARA GANI ANAYEJITAMBUA ATAWATUMIA WAO KUTANGAZA BIASHARA WAKATI MOVIE ZAO WAMESHINDWA KUZIUZA.ETI SERIKALI IWASAIDIE.ZARI SERIKALI IMEMSAIDIA KUJA HUKU.........HALAFU NISIKIE NYOO!! WHEN YOU ARE BEAUTIFUL WITH NO BRAIN YOUR PRIVATE PARTIES WILL SUFFER!!!
ZARI1.jpg
ZARI2.png
ZARI3.png
ZARI4.png
ZARI5.png
ZARI6.jpg
ZARI7.png
 
Wangempa ata lemutuzi in Asha ngederez voice
Le akili kubwaz
 
Mnawaua vbaya dada zenu wadauu!
 
Hahahahaa kama nawaona akina chuchunge wakiuvuta mdomo oohooo mama watano kazi kushindana na vibinti kheee kwani kuzaa ndo uzee? Halafu vibinti ndo vinashindana nae ila maskin hata kumfikia kwa robo vimeshindwa.

Ikikuuma meza wembe kisha weka mdomo kwa style kama wasema "tununu" heheheheee mujini kutamu bana
 
Ni ukweli ulio mchungu.
Ila Jiandae kwa Mapovu Kutoka kwa wazalendo mafekero.
 
Hihihiiiiiiiiiiiiii!!

Cc:Lile likimange kimavi kutwa kuongea upupu tu
 
Ni ukweli usiopingika...

Watu wanakaa kugombana kwa mambo yanahohitaji akili...

Mimi siyo shabiki wa mambo haya, ila she is thinking outside the box, what ever comes to her its an opportunity...

Ndiyo maana hata alivyokuwa analazimishwa kusamehe issue yake, hakutaka kujibu sababu ile tension kwa mashabiki ingeisha na issue ingepoteza mvuto...

She is a business woman, and every business person knows how to play with the minds...

Cc: mahondaw
 
Ushauri wa bure kabisa unachoma kama pasi mzee kwani wao vwanarudi utotoni kila mtu mzee mtarajiwa
 
Ukishajibrand na ukajipa heshima,pesa itakuja tu.

Mobeto,Wema and her likes uswahili utawaua.
 
Wakina Asha ngedere wanacho jua ni kupiga picha za uchi na kutukana walio fanikiwa na kuwachukia.........
Kila kukicha makalio nje... kukaa uchi nani achukue taka taka zikafungue biashara zao kama si kutafuta laana kwenye biashara?
Mtalalamika sana mwaka huu na mtaanzisha kila kampeni lakini mnatakiwa kuanzisha kampeni ya kumrudisha Sammata,Flavian nyumbani ili wasichukue kazi za watu.....huo ndio utakuwa uzalendo....

Ni kazi ngumu sana kutafuta macelebrity wa kike wanao jielewa ili kufanya nao kazi....
Wengi ni wajinga wajinga.... wanachojua ni kuporana mabwana na kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe.
Mapumbavu sana yanashindana kungonoka na vitoto vidogo,yatasubiri sana majinga kabisa
 
UMETOA KITU TAMU ILA INAUMA.NAONGEZEA NA PICHA.NI MFANYABIASHARA GANI ANAYEJITAMBUA ATAWATUMIA WAO KUTANGAZA BIASHARA WAKATI MOVIE ZAO WAMESHINDWA KUZIUZA.ETI SERIKALI IWASAIDIE.ZARI SERIKALI IMEMSAIDIA KUJA HUKU.........HALAFU NISIKIE NYOO!! WHEN YOU ARE BEAUTIFUL WITH NO BRAIN YOUR PRIVATE PARTIES WILL SUFFER!!!View attachment 609886 View attachment 609888 View attachment 609889 View attachment 609890 View attachment 609891 View attachment 609892 View attachment 609894
Nakushukuru sana mkuu kwa kuongezea petrol kwenye moto
 
Back
Top Bottom