Ma-celeb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari

Ma-celeb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari

Wa hapa wanachojua ni kupanua miguu hadi kongosho lionekane kisa hela tu. Wakitoka hapo no kwenda kushinda IG kupost tu, kuongea upupu nakadhalika. Akili ya maisha ni zero kabisa, kina Flavian ndiyo wanawake wanaojitambua
 
Mabinti maceleb wa kitanzania wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Zari.
1) kuwa na mahusiano kwa malengo
2) kuzaa kwa malengo
3) kujua kutumia fursa ya mwanaume uliye naye.

Leo mtu anatoka anandika na kulalamika kuwa Zari anapiga deals kubwa mbele ya wasichana warembo wa Tanzania akasahau uzuri bila akili ni kazi bure.

Hivi nimekaa nikajiuliza Diamond Platnumz ashawahi kuwa na mahusiano na mabinti wa ngapi mbona hakuna aliyewahi kupiga deals kama hizi nikagundua hawakuwa na akili za kutumia fursa kama Zari.
Nikajiuliza ina mana wapenzi wa diamond hawakuona fursa ya kuzaa na jamaa nikagundua waliendekeza sana ujana wakahofia kuharibu usichana wao ila Zari aliona kabisa akizaa na Diamond Platnumz hazai watoto bali anazaa asset.

Naomba niwatoea hawa Jokate Mwegelo, Flaviana Matata Millen Magese mana hawa wanajitambua na wanapiga deals zao vizuri tena wengine mpaka nje ya nchi na tusiwatumie kama vigezo kabisa mana wao wana mambo yao ya msingi.

Zari amefanya kitu kidogo tu ameunganisha nguvu ya mahusiano yao ndio hapo anatembea na chaki na mabinti zetu wasisahau huu ubalozi ni baina ya wapenzi Zari na Diamond Platnumz. Watu mmekaa na Diamond Platnumz miaka 9 mmeshindwa kumtumia vizuri katoka mtu nje ya nchi kamtumia mnalalamikaje wakati miaka yote mlikuwa naye.

BEAUTY WITH BRAIN ndio wanachokosa dada zetu hawa.Wanawekeza uzuri wao katika kutafuta wanaume wanategemea nini. Mwanamke ana idadi kubwa ya wanaume aliotembea nao kuliko idadi ya kazi zake unategemea nini.

Mastaa siku hizi wa TZ wanaongoza kwa kuwa na mafekero ya kutukania watu kuliko idadi ya asset zao.

ZARI NI BRAND KUBWA:Leo jiulize msichana gani staa angeweza kujaza watu MLIMANI CITY haya makampuni yanajitambua sana

Naomba mwacheni mganda huyu aendelee kutoa somo kwa dada zetu. Wakati mnanunua bando za kumtukana yeye anakata tiketi za ndege kwenda kuingia mikataba minono ya hela. Zari anawafundisha mastaa wetu maana ya neno showbiz less drama more money.

Endeleeni kumuita mzee kama nyie umri wenu unarudi nyuma.

*****Kwa hisani ya mdau hukooooooo Instagram. Nimeileta hapa kwa kuona inaweza kutusaidia kuwaamsha hawa dada zetu na wakaka wengine wanaolalamika tu bila kufikiria.*****




Ukwel mtupu mkuu!
 
Hahahahaa kama nawaona akina chuchunge wakiuvuta mdomo oohooo mama watano kazi kushindana na vibinti kheee kwani kuzaa ndo uzee? Halafu vibinti ndo vinashindana nae ila maskin hata kumfikia kwa robo vimeshindwa.

Ikikuuma meza wembe kisha weka mdomo kwa style kama wasema "tununu" heheheheee mujini kutamu bana
Wao hoja yao kubwa ni kuwa ana watoto wengi wakati wao kazi ni kutoa hizo mimba na kujifanya watoto
 
Wengine wana watoto na kuachika wameshaachika wapo mawindon kusaka wanaume wengine ila yao hawayaoni wanayaona ya zari tu
Wao hoja yao kubwa ni kuwa ana watoto wengi wakati wao kazi ni kutoa hizo mimba na kujifanya watoto
 
Wa hapa wanachojua ni kupanua miguu hadi kongosho lionekane kisa hela tu. Wakitoka hapo no kwenda kushinda IG kupost tu, kuongea upupu nakadhalika. Akili ya maisha ni zero kabisa, kina Flavian ndiyo wanawake wanaojitambua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yah wanasema ni mkubwa kiumri.ni kweli ni mkubwa.

Anawaonyesha kivitendo kwamba yeye ni mkubwa.
 
Hero kuwa mama watano ata kumi kuliko kuwa mama wa marehemu kw kutoa mimba ukijidai ww n msichana mrembo
 
Back
Top Bottom