Ma-celebrities wengi wana maisha magumu sana, pamoja na kwamba wana umaarufu na fedha nyingi


Duuh hadi kuwalipa mishahara wafanyakazi wa serikali lazma kafara ihusike... dooh, nlikua sijui Slowly
 
Kumb
Kumbe unasikia.Mbona sisi tunasikia unabokolewa
 
Mabeste nimekusoma mwana wasanii wanaroga saana,
Young killer
 
Kuwa masikini sio mbaya lakin ukiwa na fikra za kimasikini ndio mbaya tena zaidi.
 
AKILI KUBWA hujadili hoja AKILI YA KAWAIDA hujadili matukio AKILI NDOGO hujadili watu
 
Nadhani unatakiwa kurekebisha hapa "pamoja na kwamba wana umaarufu na fedha nyingi" maana haiwezekani useme mtu anapesa nyingi tajiri halafu anamaisha magumu, unless otherwise utaje jina la msanii ambaye unajua anapesa ndeefu harafu anamaisha magumu!

Naweza kukubali ukisema wasanii wengi wanamaisha magumu tofauti na umaarufu wao hapo ntakupa "5/5". Both Bongo movie and Bongo flavor, wasanii wengi hawana pesa licha ya kuwa maarufu na hii siwalaumu wao bali mfumo mbovu wa mapato katika sanaa sio hapa tu bali "southern Africa" yote, hii imefanya wasanii waishi maisha ya ku-fake only few of them hasa upande wa music lakini upande wa Bongo movie wale waliowekeza nje ya sanaa ndio angalau wapo vyema kiuchumi ila wengi waigizaji hadi nyuma ya camera.

Dhana ya uchawi na sijui Freemasonry hio ni upuuzi na story za vijiwe ambazo wala hazina uthibitisho wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…