Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi ambayo ipo kwenye mashirika tofauti-tofauti ya umma
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
www.jamiiforums.com
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
- BOT
- ATCL
- NSSF
- CAG
- SGR
- TANESCO
- TRA
- PSSSF
- UDART
- TPDC
- EWURA
- TCRA
- TISEZA
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
- Na hao ma-ceo watatu sio lazima wawe watanzania kikubwa ni wawe na matokeo chanya, mfano shirika la Emirates na Qatar ma-ceo wao ni wazungu
- Mabadiliko haya yatakua kwenye katiba
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...