Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hawa ahawataki kuteuliwa kabisaaa, hizo ndio loophole waheshimiwa wanatumia kupenyeza interest zaoKuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi ambayo ipo kwenye mashirika tofauti-tofauti ya umma
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
- BOT
- ATCL
- NSSF
- CAG
- SGR
- CEO WA TANESCO
- TRA
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
Lazima waelezee wana-mbinu gani za kuongeza ufanisi kwenye hayo mashirika
- Na hao ma-ceo watatu sio lazima wawe watanzania kikubwa ni wawe na matokeo chanya, mfano shirika la Emirates na Qatar ma-ceo wao ni wazungu
Taasisi kama TRA CEO wake anatakiwa afanyiwe interviewHawa ahawataki kuteuliwa kabisaaa, hizo ndio loophole waheshimiwa wanatumia kupenyeza interest zao
Heavy interview, tena kuwa na phase mdahalo in publick
Sio tu TRA, .zipo nyingi sanaTaasisi kama TRA CEO wake anatakiwa afanyiwe interview
Vyeo hivyo ni vya kupeana asante so hawezi kufanya hivyo.Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi ambayo ipo kwenye mashirika tofauti-tofauti ya umma
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
- BOT
- ATCL
- NSSF
- CAG
- SGR
- CEO WA TANESCO
- TRA
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
Lazima waelezee wana-mbinu gani za kuongeza ufanisi kwenye hayo mashirika
- Na hao ma-ceo watatu sio lazima wawe watanzania kikubwa ni wawe na matokeo chanya, mfano shirika la Emirates na Qatar ma-ceo wao ni wazungu
Kwa ustawi wa nchi yetu ni muhimu sanaVyeo hivyo ni vya kupeana asante so hawezi kufanya hivyo.
Mkuu, kuna ulazima wa kuwa mtaalamu wa field inayoonekana kuwa ndio core business wa eneo husika ili mtu awe CEO au MD?Kwa ustawi wa nchi yetu ni muhimu sana
Wasiwe wanachguliwa direct na mwanasiasa ambaye ni RaisMkuu, kuna ulazima wa kuwa mtaalamu wa field inayoonekana kuwa ndio core business wa eneo husika ili mtu awe CEO au MD?
- Ingawa kimsingi, ina tija kubwa sana kuwa na uelewa wa mambo unayoenda kuwa incharge.
Naona kuna CEO alifanya vizuri pale Tanesco akitokea BOT, hajui chochote kuhusu Umeme!
Hapa itakuwa ni kama kumpunguzia raisi mamlaka ya kiutawala kitu ambacho kwa mataifa yetu haya ya ngozi nyeusi, ni hatari na salama kwa nyakati tofauti.Wasiwe wanachguliwa direct na mwanasiasa ambaye ni Rais
Rais anateua majina matatu atajua atakapoyapatia alafu yanafanyiwa interview- nguvu ya kuwajibisha anakua nayoHapa itakuwa ni kama kumpunguzia raisi mamlaka ya kiutawala kitu ambacho kwa mataifa yetu haya ya ngozi nyeusi, ni hatari na salama kwa nyakati tofauti.
Hatari kama raisi atakuwa mzalendo na mwenye maadili kisha akawa hana nguvu ya kuwawajibisha wahuni.
Ni salama zaidi na inafaa kama raisi ni kama Jay Kasema, Sama sama huria etc, yaani hawaeleweki.
Umeandika vitu mhimu sanaa.sema tatizo siasa zinaangaliaga mtu anayeweza coruptikika.Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi ambayo ipo kwenye mashirika tofauti-tofauti ya umma
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
Lengo ni kuhakikisha kwa kuajiri watu competent basi serikali inaweza vuna zaidi ya Trillion 100 direct na indirect
- BOT
- ATCL
- NSSF
- CAG
- SGR
- TANESCO
- TRA
- PSSSF
- TPDC
- EWURA
- TCRA
- TISEZA
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
Lazima waelezee wana-mbinu gani za kuongeza ufanisi kwenye hayo mashirika
- Na hao ma-ceo watatu sio lazima wawe watanzania kikubwa ni wawe na matokeo chanya, mfano shirika la Emirates na Qatar ma-ceo wao ni wazungu
- Mabadiliko haya yatakua kwenye katiba
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Umeongea point ya muhimu sana kwenye board za wakurugenzi sio sawa board za wakurugenzi kupewa watu waliostaafu kama zawadiUmeandika vitu mhimu sanaa.sema tatizo siasa zinaangaliaga mtu anayeweza coruptikika.
Ila kama wangewapata sokoni hawa watendaji halafu wanapewa targets za ku-achieve zinazoambatana na renuew contracts zao.performance ingekuwa ya juu na mapato yangeongezeka saana.
Ila the boton line hizo boards za wakurugenzi zipewe mamlaka kamili ya kusimamia
Siyo interview pekee bali na malengo ya kufikia katika muda iliopangwa.Kuna mwaka waziri flani wa nishati kutoka jimbo moja mkoa wa Tanga aliteuliwa kuwa waziri baada ya mda akamteua mtu anayeitwa maharage kuwa CEO wa TANESCO yule jamaa sidhani kama alikuwa na hata experience ya mambo ya kuongoza hata kampuni ya ukandarasi ya umeme, ule ni mfano mmoja wapo ya mingi ambayo ipo kwenye mashirika tofauti-tofauti ya umma
Moja ambayo naamini yataongeza ufanisi ni kuhakikisha nafasi muhimu kama ceo wa mashirika ya umma wanafanyiwa interview na debate
Lengo ni kuhakikisha kwa kuajiri watu competent basi serikali inaweza vuna zaidi ya Trillion 100 direct na indirect
- BOT
- ATCL
- NSSF
- CAG
- SGR
- TANESCO
- TRA
- PSSSF
- UDART
- TPDC
- EWURA
- TCRA
- TISEZA
NIKIWA RAIS NTAPENDEKEZA MAJINA MATATU NA WATAFANYIWA INTERVIEW YA KIBABE SANA LENGO NI KUPATA MTU COMPETENT
NA KUTAKUWA NA DEBATE YA HAO WATATU WANAOWANIA HIZO NAFASI
Lazima waelezee wana-mbinu gani za kuongeza ufanisi kwenye hayo mashirika
- Na hao ma-ceo watatu sio lazima wawe watanzania kikubwa ni wawe na matokeo chanya, mfano shirika la Emirates na Qatar ma-ceo wao ni wazungu
- Mabadiliko haya yatakua kwenye katiba
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Watawekewa target na watasema watafanyia nini shirika yaan wataongeza nini ambacho hakipoSiyo interview pekee bali na malengo ya kufikia katika muda iliopangwa.