Ma DJ wa club muwe mnabadilisha nyimbo

Ma DJ wa club muwe mnabadilisha nyimbo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza.

Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani, miaka ya 70 n.k
Sasa kila siku tukija, ni nyimbo zile zile zinapigwa; kwa ujumla, mnatuchosha sana.

Badilikeni, kabla hatujawakimbia.
 
ma DJ wenyee saizi wnegine wamelala, wengine tayari wako na vibe ungewafata hukohuko tuu😅
Wanalala sasa hivi!, ndio maana wanakuwa wazembe wakutafuta nyimbo nzuri, na kutupigia zile zile za jana.
 
Vijana wa sekondari na vyuo.

#MaendeleoHayanaChama
Hata maboss wanaingia mkuu, na kwa sasa hivi majengo yameboreshwa kama ya nje ya nchi; ukiingia hutamani kutoka, vinywaji bei juu, lakini watu wanalipa
 
Embu nitajie club za dar zinazobamba.
Na kama kuna beach club.
 
Kila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza.

Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani, miaka ya 70 n.k
Sasa kila siku tukija, ni nyimbo zile zile zinapigwa; kwa ujumla, mnatuchosha sana.

Badilikeni, kabla hatujawakimbia.
Okay
 
Back
Top Bottom