Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ni kweli lakini haijakaa vizuri,ukiingia leo, kesho, kesho kutwa ni nyimbo zile zile mpaka unaweza kukisia wimbo utakaofuata; kwa ujumla inakera sanaKila mmoja ana vibe lake
Wanalala sasa hivi!, ndio maana wanakuwa wazembe wakutafuta nyimbo nzuri, na kutupigia zile zile za jana.ma DJ wenyee saizi wnegine wamelala, wengine tayari wako na vibe ungewafata hukohuko tuuπ
Ila ni club gani hiyo wanarudia myimbo ππuwe unahama viwanja na weweWanalala sasa hivi!, ndio maana wanakuwa wazembe wakutafuta nyimbo nzuri, na kutupigia zile zile za jana.
Watajifunza kupitia uzi huu; hapa natafakari pa kwendaIla ni club gani hiyo wanarudia myimbo ππuwe unahama viwanja na wewe
Unaweza ukapeleka playlist yako ya disco dansa wakawa hawanakuwa na hela ili ukienda klabu wapige playlist yako
π π π π wana hata mda wa kusomaWatajifunza kupitia uzi huu; hapa natafakari pa kwenda
Wapelekee ujumbe, kila siku tunataka nyimbo mpya ambazo zina ladha; sio kurudia zile zile ππππ π π π wana hata mda wa kusoma
πππππ..gubu
Wanaenda sana, na wanakusanya hela za kutoshaHivi watu wanaenda club sikuhizi?
Vijana wa sekondari na vyuo.Hivi watu wanaenda club sikuhizi?
Hata maboss wanaingia mkuu, na kwa sasa hivi majengo yameboreshwa kama ya nje ya nchi; ukiingia hutamani kutoka, vinywaji bei juu, lakini watu wanalipaVijana wa sekondari na vyuo.
#MaendeleoHayanaChama
Sawa ππππWapelekee ujumbe, kila siku tunataka nyimbo mpya ambazo zina ladha; sio kurudia zile zile πππ
Embu nitajie club za dar zinazobamba.Hata maboss wanaingia mkuu, na kwa sasa hivi majengo yameboreshwa kama ya nje ya nchi; ukiingia hutamani kutoka, vinywaji bei juu, lakini watu wanalipa
OkayKila siku ni nyimbo zile zile, utafikiri ni nyimbo za shule. Dunia ina wanamuziki wengi sana, wenye nyimbo nzuri na tamu kwa kucheza.
Kuna wanamuziki wazuri tu wenye nyimbo nzuri huko duniani, miaka ya 70 n.k
Sasa kila siku tukija, ni nyimbo zile zile zinapigwa; kwa ujumla, mnatuchosha sana.
Badilikeni, kabla hatujawakimbia.