Mimi ndie nilie kuhudumia 😁Jan mwanzon
Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani
Toka Sept
Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo
Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala
Sijawahi nitokea hivi nkakimbilia tmj
Kufika.nkamweleza dk.we akauliza.maswaoili kadhaa. Mwisho nkaona anaandika dawa akanishauri.pia.nipumzike.niache pombe kwa.mda nk
Nkamwelewe akasisitiza ukimaliza hizo.dose unakuwa.sawa kabisa
Nikarudi hme.nkajipumzisha.kama siku ksdhaa bila kazi yoyote nikawa close na Bible ♥️ ❤️ 👌
Baada ya wiki dose haijaisha majeshi yakarudi tena mpaka sasa hivii
Sasaa na.mwenzangu. majuzi hali ikamtokea huko.kwake nkamwambia kuna dawa nilipewa nzuri ilinsaidia hatq kabla sijaimaliza
Nkampatia akanunue......amechukua kaenda pharmacy anapiga ananiambia nimekuwa.mhun nkamwambia why akasema mbona mdada anasema hiizi.n panadol
Ukweli.nilibaki.kuxhekaa sikujua nimepewa.panadol na ule uushauri
Nikamwambia hio ndio.nimekunywaa
...ma dk ahsanten sana na....anawaona.kwa kweli awaongoze.kuwasaidia watu kisaikolojia.pengine. ninngeambiwa panadol nisingeamini na labda ingechukua.mda.kuwa.sawa
hilo lijamaa ni lipimbi!Hata kama haujui kusoma. Sura ya Panadol hauijui?
Ushazeeka kwisha habariJan mwanzon

Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chakoChukua CODE hii.
Ukipewa dawa yoyote . Google jina la dawa na kazi gani inaenda kufanya mwilini.
Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
Kwani AL inafanya nini kama sio kuchukua hizo data wanazotumia madaktari,au unafikir al wanatunga mambo wenyeweHaisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
Madude ya hivi mimi uwa nayapiga hela tu ,maana muda wote tungi mwandiko kama mwalimu Mpwayungu VillageMENEMENE TEKERI NA PERESI chukueni maua yenu huku😁
Wa kijinga sana khaaa 😬😬😬😬Jan mwanzon
Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani
Toka Sept
Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo
Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala
Sijawahi nitokea hivi nkakimbilia tmj
Kufika.nkamweleza dk.we akauliza.maswaoili kadhaa. Mwisho nkaona anaandika dawa akanishauri.pia.nipumzike.niache pombe kwa.mda nk
Nkamwelewe akasisitiza ukimaliza hizo.dose unakuwa.sawa kabisa
Nikarudi hme.nkajipumzisha.kama siku ksdhaa bila kazi yoyote nikawa close na Bible ♥️ ❤️ 👌
Baada ya wiki dose haijaisha majeshi yakarudi tena mpaka sasa hivii
Sasaa na.mwenzangu. majuzi hali ikamtokea huko.kwake nkamwambia kuna dawa nilipewa nzuri ilinsaidia hatq kabla sijaimaliza
Nkampatia akanunue......amechukua kaenda pharmacy anapiga ananiambia nimekuwa.mhun nkamwambia why akasema mbona mdada anasema hiizi.n panadol
Ukweli.nilibaki.kuxhekaa sikujua nimepewa.panadol na ule uushauri
Nikamwambia hio ndio.nimekunywaa
...ma dk ahsanten sana na....anawaona.kwa kweli awaongoze.kuwasaidia watu kisaikolojia.pengine. ninngeambiwa panadol nisingeamini na labda ingechukua.mda.kuwa.sawa
Tena Ai ni msaada sana na mimi mara nyingi natumia Ai kutibu wagonjwa na wengi wao kama sio wote wanaponaKwani AL inafanya nini kama sio kuchukua hizo data wanazotumia madaktari,au unafikir al wanatunga mambo wenyewe
Imani kubwa tuliyojengewa kwa Dr ni nzuri ila pia wakati mwengine inatuponza, hatupingi umuhimu wao na jitihada zao ila pia lazima tutambue kuwa ma Dr asili kubwa ni watu waliyokariri sana walichofundishwa na kuna ma Dr ambao wametoka nje ya box kwa yale ambayo wamekaririshwa au yanayo karirishwa huko darasani.Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
Imagine unauziwa panadol kwa elfu 30 kwa dozi ya week 2 tuhilo lijamaa ni lipimbi!