Ma Dr na watu wa Afya Mje mniokoe😭

Ma Dr na watu wa Afya Mje mniokoe😭

Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop kwenda kazini, sasa swalla kubwa zaidi hapa ni sijapata usingizi for 12 days, yani ni ile nalazimisha kua kama nimelala ila ubongo uko active and i can feed it sasa ubongo umekua kama ebust, watu hawajajua but siwasikii tena vizuri wakiniongelesha, hata nikiwa nawauliza nawauliza vizuri, nimerudi tena hospital sijapewa anything ya kutibu. Naweza tumia dawa za usingizi? sababu nitakufa.

Samahani kama kuna any typping errors ni vile nimendika mikono haina nguvu inatetemeka
1. Achana na dawa zote (pain killer na ujinga mwingine)

2. Nenda muhimbili kaangalie full blood picture
 
Ukimaliza options zako zote usisahau yuko Mungu anaishi, na kwake hakuna linaloshindikana inahitaji imani yako kidogo tu kama chembe ya haradani.
 
Back
Top Bottom