1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mmoja wao kwa sasa ana album anazidi kung'aa tu
Mwingine yeye anasuasua ktk video queen hajatoka kivileee
Huyu mwingine yaaan daah ndo funga kazi,, yeye minenguo bongo move hadi video queen,, anasumbua hapo town,,
Embu mnijuze mm nna kipaji gani?