Ma Ex-girlfriendz zangu ni video queen, Wapiga ramli na wasoma nyota mkuje mniambie nina kipaji gani?

Mi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakin nilifurahi na nikajua ipo siku ntampata naemtaka mimi
hah haha..haujafwa " kwa stress tu ""......
 
hao si ni sampuli zakina gigy money,amber nani wale wanaoshinda mtandaoni wanaposti makalio na utupu!?
mmoja sampuli hiyo ameanza hayo mambo, kuna cku nlimuuliza kwa nn unajiachia ivo, jibu alonipa ni kituko,,, aliniwekea status ktk whatsup nikajiongeza, nlikuwa na mpango wa kustua bunduki lakini nikasita [emoji16] [emoji16]
 
hahaa ili uwe na hao lazima uwe sampuli yao yani bishoo, muuza sura, mpaka poda tunarudi kulekule kwa kadinda.
 
Back
Top Bottom