Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mi wanaume niliowakataa wanioe washagakua matajiri kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa we mwenyewe ni nani?
Maana siyo unawasema tu ma x
Lakin nilifurahi na nikajua ipo siku ntampata naemtaka mimi