Mmm. Haya..!
Atashika manyonyo yake akiashiria maziwa,
then atakata kiuno chake kuashiria hayo maziwa yamekatika
Asante kujaribu!
Btw umejibu kimiondoko ya as if ni Bubu wa kike, je? Bubu wa kiume obvious manyonyo kifuani hana, atashika nini?
Mmm. Haya..!
Atashika manyonyo yake akiashiria maziwa,
then atakata kiuno chake kuashiria hayo maziwa yamekatika
Atakae jibu kiufasaha kuna nanihii nono itamhusu!
Ha ha ha!
Lady doctor umetisha!
Atashika maziwa yake ya kifuani afu atazungusha mauno clocwise mara tatu afu anti clockwise mara nne, hapo lazima muuzaji aelewe
Mmm. Haya..!
Atashika manyonyo yake akiashiria maziwa,
then atakata kiuno chake kuashiria hayo maziwa yamekatika
Mmm. Haya..!
Atashika manyonyo yake akiashiria maziwa,
then atakata kiuno chake kuashiria hayo maziwa yamekatika
sijui aliko..toka anitelekeze na mm kuamua kuvua gamba,sina habar nae