Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au nafanya makosa ktk kuapply?. Naomba HRM au yeyote yule mwenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuapply anijulishe ili nimtumie moja ya application ili aione na anisaidie kuirekebisha kama ina makosa... Nashukuru sana. Email😛awaga@hotmail.com
mkuu mlongahilo,.asante sana mnyalukoro kwa maelezo yako,vip lkn kutuma application ambapo hawajatangaza ni kosa?,je kama nilituma kabla hawajatangaza then baada ya muda wanatangaza,natuma tena au ile ya kwanza inatosha?. Ubarikiwe pia mnyakilambo.Ndugu yangu, Ili application yako ifanikiwe ni vema uzingatie vigezo vilivyowekwa kwenye tangazo husika. Elewa kuwa qualified qraduates ni wengi hivyo kuna stiff competition, yakupasa uwe ni vigezo ambavyo kwako vinakuwa ni advantage ya ziada kwako mf. kujua moja ya accounting packages. Aidha, utumapo application mahali ambapo hawajatangaza kuwa wana nafasi wazi, ni sahihi kwa HRMs kutoisoma application yako kwani haisaidii kitu chochote hata akiisoma. Ubarikiwe ndugu yangu Pawaga
Ndugu yangu,
Ili application yako ifanikiwe ni vema uzingatie vigezo vilivyowekwa kwenye tangazo husika. Elewa kuwa qualified qraduates ni wengi hivyo kuna stiff competition, yakupasa uwe ni vigezo ambavyo kwako vinakuwa ni advantage ya ziada kwako mf. kujua moja ya accounting packages.
Aidha, utumapo application mahali ambapo hawajatangaza kuwa wana nafasi wazi, ni sahihi kwa HRMs kutoisoma application yako kwani haisaidii kitu chochote hata akiisoma.
Ubarikiwe ndugu yangu Pawaga
asante babu ubwete,Tatizo la ajira ni kubwa. Jitahidi kutuma ipo siku utatusua. Kutuma kabla ya kutangazwa nafasi huwa kuna advantage pia angalia kama unafanya free lance sales and marketing huwa wengine wanakamata directory na kuicontact business venture na kuipa idea yako.
mkuu mlongahilo,.asante sana mnyalukoro kwa maelezo yako,vip lkn kutuma application ambapo hawajatangaza ni kosa?,je kama nilituma kabla hawajatangaza then baada ya muda wanatangaza,natuma tena au ile ya kwanza inatosha?. Ubarikiwe pia mnyakilambo.
Kwa nini usitafute kazi ya boksi ujishikize hadi utapopata ya ofisi?