Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Tuombee nchi ikombolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehe hehe hehe hehe yamekuwa hayo tena?be mnya kwitunundu,ikasi kuboma nalamu sana,kangalage ndaiyo ela..ndauli Arusha wazima?
Ishara ya kichaa cha magwandaTuombee nchi ikombolewe
Ishara ya kichaa cha magwanda
Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au nafanya makosa ktk kuapply?. Naomba HRM au yeyote yule mwenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuapply anijulishe ili nimtumie moja ya application ili aione na anisaidie kuirekebisha kama ina makosa... Nashukuru sana. Email😛awaga@hotmail.com