Ma-jobless thread

Ma-jobless thread

Jobless nimepata chochote kitu hapa nina 1.7 million nawazanifungue Juice point ushauri wenu wakuu huo mtaji unatoboa?
 
Mtaji kama mdogo fungua kibanda cha mkaa au kuni hapa uswahilin. Ila ogopa ukarib na wake za watu mana kukupa nyash uhangaike nalo kwa buku jero hawaon tabu
Hiyo hatar mkuu
Kupakwa mafuta nje nje
 
Back
Top Bottom