Ma kiswahili

MDSON

Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
39
Reaction score
4
Msaada jamen kwa aliyesoma hiyo coz ya MA KISWAHILI ada yake ni sh ngap ?Naomben ada ya vyuo mbalimbali,pia hv desertation yake inaandikwa kwa kiswahili au kiingereza,mwenye kufaham anifahamishe tafadhali
 
Nenda Udom ipo, ada yake sio kubwa sana, ila lazima degree ya kwanza uwe ulisoma Kiswahili, kama hukusoma kiswahili usijaribu kabisa kuomba!
 
Kama umeamua kusoma kiswahili jua kabisa kiswahili,badala ya MA ungeweza kutumia shahada ya uzamili ya sanaaa ya kiswahili na badala ya neno dessertation/thesis ungeweza kutumia neno tasnifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…