Msaada jamen kwa aliyesoma hiyo coz ya MA KISWAHILI ada yake ni sh ngap ?Naomben ada ya vyuo mbalimbali,pia hv desertation yake inaandikwa kwa kiswahili au kiingereza,mwenye kufaham anifahamishe tafadhali
Kama umeamua kusoma kiswahili jua kabisa kiswahili,badala ya MA ungeweza kutumia shahada ya uzamili ya sanaaa ya kiswahili na badala ya neno dessertation/thesis ungeweza kutumia neno tasnifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.