Ma-MC kuigiza Tamthilia, Njaa au Fursa?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
 
Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
Binti pichan ana movie moja matata.
 
Fursa popote, pia ni kukuza umaarufu wa muhusika na ni talent yake.
 
Ni Hemedy PhD pekee aliyeweza kutumikia mabwana wawili kipind fulani ingawa kwasasa amepwaya kiasi fulani.
 
juzi nilimuona shehe Kipozeo kwenye series flani dstv..nikajua njaa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…