Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Mkilia, ameyasema hayo Machi 1,mwaka huu mjini Morogoro wakati wa warsha na wahariri wa vyombo mbalimbali nchini kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.

Amesema maisha ni mchezo wa kuigiza, hivyo kuna maisha mtu anapenda yaonekane na mengine ni siri lakini baadhi ya watu bila kujua wanasamabza taarifa za watu jambo ambalo ni kosa kisheria.

“Unakuta umeenda kwenye sherehe wale MC wanakupiga picha mnato au video baadaye unaonekana mtandaoni ukiwa umejiachia, ni muhimu kupata ridhaa ya mtu kabla ya kutumia taarifa zake kama majina, picha, namba za simu, makazi, anuani, taarifa za kifedha na afya.

Chanzo: Nipashe

Pia soma:
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100

~ Ijue Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria no. 11 ya mwaka 2022
~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa
 
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Mkilia, ameyasema hayo Machi 1,mwaka huu mjini Morogoro wakati wa warsha na wahariri wa vyombo mbalimbali nchini kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.

Amesema maisha ni mchezo wa kuigiza, hivyo kuna maisha mtu anapenda yaonekane na mengine ni siri lakini baadhi ya watu bila kujua wanasamabza taarifa za watu jambo ambalo ni kosa kisheria.

“Unakuta umeenda kwenye sherehe wale MC wanakupiga picha mnato au video baadaye unaonekana mtandaoni ukiwa umejiachia, ni muhimu kupata ridhaa ya mtu kabla ya kutumia taarifa zake kama majina, picha, namba za simu, makazi, anuani, taarifa za kifedha na afya.

Chanzo: Nipashe
Imekaa poa,Bado hiyo Sheria wengi hawaijui,ipo haja pia kuweka hapa kwenye hili Tangazo,tulisome wengi hatujui!
 
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dk. Emmanuel Mkilia, ameyasema hayo Machi 1,mwaka huu mjini Morogoro wakati wa warsha na wahariri wa vyombo mbalimbali nchini kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.

Amesema maisha ni mchezo wa kuigiza, hivyo kuna maisha mtu anapenda yaonekane na mengine ni siri lakini baadhi ya watu bila kujua wanasamabza taarifa za watu jambo ambalo ni kosa kisheria.

“Unakuta umeenda kwenye sherehe wale MC wanakupiga picha mnato au video baadaye unaonekana mtandaoni ukiwa umejiachia, ni muhimu kupata ridhaa ya mtu kabla ya kutumia taarifa zake kama majina, picha, namba za simu, makazi, anuani, taarifa za kifedha na afya.

Chanzo: Nipashe
Fafi aise.
 
🤣🤣🤣🤣 bora maana kuna shosti nlkutana na picha yake mtandaoni kwa sherehe skuamini kama ni yeye nljua ni pombe
 
Back
Top Bottom