Ma-single wote usiku huu njooni tufarijiane

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Muda Kama huu huwa mzur Sana ukiwa na mwenza wako mnafarijiana na kupanga mipango yenu na ya familia kwa ujumla

Changamoto unakuja kwa wale ambao tupo single,tunajawa na mawazo na pressure kuhusu jins ya kupata wenza maishan mwetu.

Kama uko matured na upo single muda huu nakualika njoo tufarijiane hapa:
 
Haha unataka ufarijiwe
 
Pana kuwa peke yako [ single ] na panakuwa mpweke [ alone ] sasa huyu muanzisha uzi ni mpweke yani lonely
 
Wiki ya masingo hii[emoji23]

Kila usiku mnaanzisha nyuzi,

Mlale,
 
Sie wengine twa comment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…