Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mwanachama haiKumbe na wewe ni mwanachama??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanachama haiKumbe na wewe ni mwanachama??
na enjoyyyyy naenjoy sanaaaaaa japo kuwa sina kituuuuuu naenjoy jamaaaa 🎶🎶🎶🎵🎼Muda Kama huu huwa mzur Sana ukiwa na mwenza wako mnafarijiana na kupanga mipango yenu na ya familia kwa ujumla
Changamoto unakuja kwa wale ambao tupo single,tunajawa na mawazo na pressure kuhusu jins ya kupata wenza maishan mwetu.
Kama uko matured na upo single muda huu nakualika njoo tufarijiane hapa: