Ma-single wote usiku huu njooni tufarijiane

Ma-single wote usiku huu njooni tufarijiane

Muda Kama huu huwa mzur Sana ukiwa na mwenza wako mnafarijiana na kupanga mipango yenu na ya familia kwa ujumla

Changamoto unakuja kwa wale ambao tupo single,tunajawa na mawazo na pressure kuhusu jins ya kupata wenza maishan mwetu.

Kama uko matured na upo single muda huu nakualika njoo tufarijiane hapa:
na enjoyyyyy naenjoy sanaaaaaa japo kuwa sina kituuuuuu naenjoy jamaaaa 🎶🎶🎶🎵🎼
20221108_233012.jpg
 
Back
Top Bottom