ma TO`s ndani ya bunge

ma TO`s ndani ya bunge

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
148
msikose kuangalia ma TO`s ndani ya bunge watakavyopewa stahili zao
 
msikose kuangalia ma TO`s ndani ya bunge watakavyopewa stahili zao
hahahahahhahahhahahhahah ahahahha ahhahahhahaha!!! hongera zao...ila tunawangojea chuon!!!!
 
bOOKISH eDUCAtION, THEORETICAL PERFOMANCE, COGNITIVE ABILITY..lol, no psychomoter ability
 
chuoni hawanaga kitu hawo, nilikuwa nasoma nao chuoni niliwashikisha adabu, wote mkiani. gelesha anaesapoti hayo ni mjinga, serikali inunue komputer iweke watumie wote, inawapa za nini
 
taboraboys kama kawaida mjengoni tumeingiza mtu taboraboys kichwacha tanzania
 
TO zamani bwana! MA TO skuizi wanaingia secondary hawajui kusoma wala kwandika, wanashinda na viwete wa miguu miwili haliyakuwa wao wana mguu mmoja tu.
 
Back
Top Bottom