kama unatafuta maabara ya kujitegemea bila kuonana na Dr/hosp nenda lancet laboratories...kwa dar wana matawi sehemu mbalimbali moja lipo muhimbili nje na posta nadhani lipoSalaamu wana JF wote.
Jamani naombeni mnifahamishe... kwa hapa Dar, ni sehemu gani kuna maabara ya kuaminika for health check up. Namaanisha kufanya vipimo mbali mbali vya kimaabara... mfano mkojo, choo, sperm analysis, damu (hasa hasa pH ya damu), n.k.
Nomba iwe sehemu affordable coz sina bima ya afya.
Ahsanteni ndugu. Barikiwa sana wote
google lancert laboratory tanzania unaweza ona nembo yake inaweza kukusaidia katika kuzitafutaYes Mkuu. Nashukuru sana.
Wapo pia REGENCYkama unatafuta maabara ya kujitegemea bila kuonana na Dr/hosp nenda lancet laboratories...kwa dar wana matawi sehemu mbalimbali moja lipo muhimbili nje na posta nadhani lipo