Maabara nzuri ya afya jijini Dar.

Maabara nzuri ya afya jijini Dar.

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Salaamu wana JF wote.

Jamani naombeni mnifahamishe... kwa hapa Dar, ni sehemu gani kuna maabara ya kuaminika for health check up. Namaanisha kufanya vipimo mbali mbali vya kimaabara... mfano mkojo, choo, sperm analysis, damu (hasa hasa pH ya damu), n.k.

Nomba iwe sehemu affordable coz sina bima ya afya.

Ahsanteni ndugu. Barikiwa sana wote
 
kama unatafuta maabara ya kujitegemea bila kuonana na Dr/hosp nenda lancet laboratories...kwa dar wana matawi sehemu mbalimbali moja lipo muhimbili nje na posta nadhani lipo
 
Yes Mkuu. Nashukuru sana.
 
kama unatafuta maabara ya kujitegemea bila kuonana na Dr/hosp nenda lancet laboratories...kwa dar wana matawi sehemu mbalimbali moja lipo muhimbili nje na posta nadhani lipo
Wapo pia REGENCY
 
Unaweza kwenda lancet laboratory wapo Doctor's plaza pale morocco karibu na jengo la Airtel .hawana mlolongo mrefu
 
Back
Top Bottom