Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Wakuu,

Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi.

1. Centrifuge
2. Water Bath
3. Microscope
4. HB Machine
5. BP Machine
6.Weighing Scale
7.Blood collection tubes
8.Autoclave machine
9.Weighing Scale
10.Glucoplus
11.Refrigirator
12.Desktop
13. Furniture (Viti/Meza etc)
14. Waiting chairs
15. Uriscan Machine
16.ImmunoAssay Analyzer

Vitu vyote ni vipya kabisa, vimetumika chini ya Mwaka mmoja.

Ukinunua vyote, anasema Reception, phlebotomy na makabati na baadhi ya furniture vyote anakupa bure.

Nichek PM
 
Mcheki wasup...+255716715722
Weka picha.
 
Weka picha alafu location hujataja! Na kwann bei unataka kutajia chumbani inbox huko, huna furaha na bei zako?
 
Weka picha alafu location hujataja! Na kwann bei unataka kutajia chumbani inbox huko, huna furaha na bei zako?
Mkuu wala biashara haigombi... Mimi ni mjumbe tu..

Wewe mpe offa yako, maana sio kwamba anauza kwa bei ya soko...
Last time kila kitu alitaka mil 8 ndio maana ni vizur mkazungumza.
 
Mkuu wala biashara haigombi... Mimi ni mjumbe tu..

Wewe mpe offa yako, maana sio kwamba anauza kwa bei ya soko...
Last time kila kitu alitaka mil 8 ndio maana ni vizur mkazungumza.
Unaona sasa unaanza kutoa mwanga mkuu? Hii ndio sawa.....

Haya taja location sasa
 
Unaona sasa unaanza kutoa mwanga mkuu? Hii ndio sawa.....

Haya taja location sasa
Mkuu kwanza nashukuru, Maabara ipo Dar, lakini Muuzaji anataka kuuza vitu pekee...
 
Back
Top Bottom