SoC03 Maabara za Kikandarasi ni uozo na aibu kubwa kwa nchi

SoC03 Maabara za Kikandarasi ni uozo na aibu kubwa kwa nchi

Stories of Change - 2023 Competition

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa.

Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila kuzingatia mahitaji na vipaumbele vitakavyoleta tija nchini mwetu matokeo yake Fedha za kufanyia shuguli hizo zinakwenda nchi nyengine kufaidika kwa ukosefu wa kifaa kimoja tu ambacho kingeweza kuingia mamilioni ya pesa nchini.

Mfano upande maabara hizi na kikandarasi ni kweli nchi nzima haifganyi testi ya Resistance to Chloride Ion Penetration test? maabara za chuo kikuu zote, Tanroads mpk maabara binafsi ziagize nje ya nchi kwa washirika wao kwa gharama kubwa zaidi inajulikana mradi fulani utahitaji kipimo fulani na fulani kwanini wasijiandae hata kuandaa maabara ya muda wa mradi husika kisha itabaki kwenye wizara husika.

Kwa mradi mkubwa kama wa Bomba la Mafuta (EACOP) kukosekana kwa hiki kipimo ni aibu kubwa sana tena wanakwambia ni kipimo adimu hivyo hawawezi kuweka reagents zikaharibika bure ina maana usanifu haufanyiki ipaswavyo kabla ya utekelezaji?, au hua wanaangalia vitu gani, Vipimo vyengine wanakwambia hakuna vacumm najiuliza ni nini hiki?, makampuni ya nje yamekuja kutekeleza mradi ndio yanabuni namna ya kuanzisha maabara zao wadouble profit kweli?

Halafu tulivyo mazwazwa tutawapa vibali na kuwatoza kodi tukijiona tunajua kumbe mabunju hii nchi inakwaza kama ni mtoto wako unamchapa mpk azimie.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom