Maabara za wanyama wafugwao Tanzania

Maabara za wanyama wafugwao Tanzania

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwa upande wangu,hapa Tanzania,sijawahi kuziona,ila huwa nawaona specialists wakitoa chanjo mtaan,ndo kusema fursa hii doctors hamuioni? au hamna haja?
 
Mkuu mbona sijaona ushirikiano wa heading yako na ulichokisema humu ndani?
Tambua kuna vyuo vya uvuvi na ufugaji, nadhani hao ma specialists wanapatikana huko.
 
Mkuu mbona sijaona ushirikiano wa heading yako na ulichokisema humu ndani?
Tambua kuna vyuo vya uvuvi na ufugaji, nadhani hao ma specialists wanapatikana huko.
Sina imani kama nao wanaweza kufanya operations,pale inapotokea mnyama anaitaji kufanyiwa operation,au huduma za ultra sound na x-rays
 
Sina imani kama nao wanaweza kufanya operations,pale inapotokea mnyama anaitaji kufanyiwa operation,au huduma za ultra sound na x-rays
Kwa nini huamini?
Wewe udaktari wako umesomea wapi?
 
Kwa nini huamini?
Wewe udaktari wako umesomea wapi?
Anyway,hoja yangu ni kuhusu maabara za wanyama wafugwao,zipo ama hazipo? au jf doctor haiwahusu doctors wa wanyama? au doctor wa wanyama anakuwa kundi gani? haitwi doctor?
 
Back
Top Bottom